Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

TRADING IS IDEAL FOR A WOMAN! As I told you in an earlier article, women can be, and are great traders as well. They certainly got admirable qualities that can also help them in trading. There?s...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Miaka mingi nimekuwa na ndoto ya kuwa na kampuni lakini vision ambayo itabeba maono ya kila kilichopo kwenye kampuni nakosa..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJamvi, Poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Here?s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair first moved sideways in the first few days of last week, and then price broke down again on October 28, reaching...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Habari za leo mabibi na mabwana, Nina mpango wa kununua line za Tigopesa na M-Pesa kutoka kwa wakala ambae ameacha kufanya biashara hiyo ya uwakala na kuamua kuziuza line zake. Kama mnavyojua...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini, naomba kuuliza kuhusu taratibu za kuomba na kupata Tax identity Number ya TRA. itanigharimu nini ili niipate. mwenye kujua anifahamishe.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu Wana JF nahitaji msaada , nyumba ya ghorofa(apartments) inaYofanya biashara ya kupangisha ikiwa inamilikiwa na watu 7. Wamiliki wakifungua kamapuni kwa ajili ya kuendesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF...Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiitafuta hii Citi Bank hapa Arusha bila mafanikio yoyote...Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu hii bank ilipo.
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Wakuu, Yeyote anaetoa mkopo kwa masharti nafuu. Ani pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A HEART-TO-HEART TALK Experience is the best teacher. Negativity in trading is compared to temporary setbacks in real life: it exists so that you can become a better trader. Losing streaks are...
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Here?s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair traded in a tight range from Monday to Wednesday and then broke out southwards on Thursday. The southward break...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Wanabodi, Niko hapa Serena Hotel DSM kuwaletea uzinduzi wa ON Line Porta ya TFDA ambao utawezesha mambo yote ya TFDA kuendeshwa kidigitali!. Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu tunataka kufanya group yetu ya WHATSAPP kuwa SACCOS hivyo nahitaji mwenye DRAFT ya Katiba anitumie inbox ili niifanyie editing ready for use.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakati unapoanza biashara, wewe unachojua ni kwamba unahitaji wateja ili biashara yako iweze kufanikiwa. Wafanyabiashara wengi huwa wanafikiri wateja wote ni sawa na hivyo kujiandaa kutoa aina...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Habar ya muda huu wakuu..km heading inavyojeleza naomba kujulishwa kuhusu ununuaj wa bidhaa za jumuia maana niko nje ya mkoa wa dar_nmewasiliana nao wananiambia nitume pesa thn ndan ya cku 3 mzigo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndg wana janvi........ Serikali ina sera ya kuongeza kipato cha wananchi hapa nchini. Napenda kufahamu taratibu za kusajiri bidhaa km vinywaji huko idara ya Chakula ili viweze kuwa packed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari JF members. Naomba msaada kune anajua transport agents wakusafirisha mzigo inje transit .Route zaMalawi,Zambia naZimbabwe.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Gari kutoka Zanzibar kwenda Bara, zimeongezewa ushuru maradufu... Ndugu zetu mnakusudia kuuwa biashara ya gari Zanzibar kama mulivyouwa biashara ya vitambaa? Viongozi wetu mbona mpo kimya? Wapi...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Kuna Taasis Znanunua Maden Ya Mikop Ya Waajira Na Kuyalipia Wao Na Kukuongezea Kias Flan Hili Limekaaje Hamna Dalil Ya Mtu Kujuta Hapa ,wataalamu Wa Hiz Mamb Karib Tujadil,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba mnaojua taasisi zinazotoa mkopo kwa tusio na nyumba au uwanja
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom