Kwawote wanao hitaji mitungi ya gas (ORXY) kwa Morogoro mjini haina haja ya kusumbuka njoo upate mtungi poa kwa bei poa.
Tunapatikana balabala ya Sua karibu na barabara iendayo Sabato au Pigs...
Jipatie power bank yenye uwezo wa 20000mAh kwa bei ya 50000TSH
Utaweza kuchaji simu aina zote,tablets pamoja na betri za camera
Dar es salaam napatikana kwa namba 0714925651
Wadau,
Kuna hiki kilimo cha drip irrigation amabcho kinatumia maji kidogo sana. Nani anaweza kunipa taarifa ya wapi nitaweza kuipata? Najua Mgombezi katika programu yake ya "Niwezeshe" ameiweka...
Ndugu Wana-Jamii
Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na shughuli za kila siku, pamoja na changamoto mbalimbali zinazotukabili. Kwa wale tunaofahamiana kwa kukutana ua namna yeyote ile; MALILA...
Tangu vodacom walipoingia Tanzania, nilikuwa mteja wao na nimetumia laini zao kwa mawasiliano ya simu na internet. Lakini sasa hapana. Sitaki kusikia dude linaloitwa vodacom. Wameamua kuwakomoa...
Kuna vitu vingi saana vinavyochangiya biashara kukuwa kwa kasi na kuwa imara.Kampuni nyingi sana zilizofanikiwa katika nyanja tofauti kuna kitu kimoja wana share kwa pamoja ukiangalia wanakuwa...
Kwa wale wote wanaotaka kujipatia line za Helotel pesa (V-pesa) na kujiongezea kipato zaidi, tafadhali piga simu namba 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) au email...
wapi napata mashine za kuchana mbao Mwanza? pamoja na machine za overlock tafadhali. kuna jamaa maeweka humu lakini inaonekana yuko mbeya mbali sana kuzifuata.
Wapendwa mimi ni mwenyeji wa Arusha,
Juzi kati nilikuwa Dar kwa muda wa wiki mbili; kama kawaida nilikuwa na laini nyingine ninayo itumia kwenye moderm pamoja na kuwa ninayo moderm ya Airtel...
Here?s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
There was a sudden and fast bullish breakout on EURUSD, which made it go upwards 450 pips, testing the resistance line at...
AUDJPY = Sell
AUDUSD = Sell
EURAUD = Buy
AUDCAD = Sell
AUDCHF = Sell
GBPAUD = Buy
AUDNZD = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
Lilipotokea seke seke la kukwepa ushuru wa makontena bandarini, wengi wetu tulitegemea kampuni ambazo zinahusiswha na mtoto wa mkulu zingekuwa implicated kwenye hili sakata. Badala yake tunasikia...
Low cost African airline FastJet has confirmed it will have its first airbase in Tanzania.
The airline will commence flying in November with seats going on sale online a few weeks earlier...
Nipo katika hatua za awali kusajiri kampuni ya ukandarasi wa umeme. Sasa katika kufuatilia Brela nimeambiwa kila kitu ni on line sasa pale kuna vitu viwili
1. Registration of business name
2...
Ofa maalum ya Sikukuu. Tangaza nasi kipindi hiki cha sikukuu na upate Punguzo hadi 50%. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
The Darproperty; East Africa's Ultimate Property Guide
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.