Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair fell 200 pips last week, almost touching the support line at 1.1100. Afterwards, price bounced upwards by 180...
Natafuta mwekezaji katika madini ya TANZANITE, yaliyopo MERERANI, MANYARA, TANZANIA. Mimi ni mchimbaji mdogo mdogo, sina vifaa vya kisasa (ADVANCE TOOLS) eneo lina ukubwa wa eka, stakabadhi zote...
Habari zenu wana Jf.
Kutokana na hali ya ngumu ya kiuchumim kuwa ngumu nimeamua nijipange upya kabisa, kwanza nataka nijue mitaa ya Dar, Mwanza au Moshi mjini mjini na sehemu nyingine naweza...
Hivi hizi bei za TRA za Magari mapya/yalipokua mapya wanazipata wapi? Mimi nina mashaka nazo sana!
Kwa mfano tuangalie bei zifuatazo za Toyota RAV4
Model Year CC Price...
Habari zenu wanajamvi,
Nimeamua kuanzia leo niwapatie mawazo ya Biashara na namna ya kufanya biashara kwa wale wote wenye mitaji lakini hawawezi na hawajui wafanye biashara gani,nitatoa ushauri...
Wadau,
Leo nataka nitoe bei ya vifaa vya kurushia matangazo, bei hii ni FOB.
1. Transmitter:TX1000 FM Transmitter (240V only) 25-1100 watts (adjustable) RF output powerTX1000 FM Transmitter (240V...
Mwenye Ujuzi Namuomba anifahamishe.
Hivi unapofungua Account ya Paypal,wanakutaka ujaze no.ya credit card(mi ya kwangu CRDB Master Card) je unatakiwa ujaze Card number au Account number?
Matibabu yanayohusu mfumo Wa uzazi
MF: KAMA
A) KWA KINA MAMA KAMA una kati ya haya.
1; kotoshika mimba
2: uvimbe Wa kizazi
3; kupata maumivu wakati Wa hedhi
4; kutosikia hamu ya tendo la ndoa
5...
Salaam wakuu. Kuna jamaa yangu amelima ulezi anao mwingi sana upcountry. Wanaodeal na mazao naulizeni soko la hapa mjini likoje, kuna mteja Wa kuweza kununua gunia 50 kwa pamoja? Bei ikoje...
Mambo vipi wadau,
Nilikua naomba ushauri wa business idea yoyote nzuri ninayoweza ku undertake kwa Capital ya Tsh. million moja. Nipo Dar, maeneo ya Kimara.
Naomba kwenye kujua zilipo Ofisi au warehouse ya kuuza magari (used cars) za cheki.co.tz. Wanatangaza kwa Kiswahili Katika website Yao lakini hawajaweka contact details wala mahali walipo.
Salaam wakuu.
Kwa wale wakazi wa Dar es Salaam, na maeneo ya jirani kwa leo(15.01.2014) tumeweza kushuhudia foleni ilivyoweza kuwa kubwa, kiasi kwamba barabara takribani zote toka asubuhi muda...
Habari wana JF
Naomba msaada kwa mwenye uelewa wa gharama zote zinazohitajika kwa ajili ya kuvuka na toyota coaster kwenda Zambia. Hapa namaanisha road toll na bima na gharama zingine zote...
Mimi nafutilia kwa karibu sana utendaji kazi wa benki zenye sura halisi za kitanzania kwani ni una uhakika faida itayopatikana haitoki nje kama mabenki mengine.Kwa siku za karibuni baadhi ya...
Heres the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
Though this pair was trendless in the first few days of last week, it was characterized by high volatility on Thursday and...
Amani iwe kwenu wana J.F.
Nataka kuagiza gari toka Japan, IST, 1290cc, ya mwaka 2006. Naombeni msaada wa gharama halisi za kutoa gari bandarini (Dar) hadi uwanjani kwangu.
Nawasilisha.