Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kati ya Dodoma na Tanga ni mkoa upi unaotoa dhahabu nyingi. Nataka kuchimba dhahabu naombeni ushauri wenu Ndugu zangu ni wapi kati ya Dodoma na Tanga ambapo nitaweza kuchimba dhahabu vizuri na kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nijuze ni mtandao uliopo chini ya kampuni ya MES solution.Nijuze ni makataba ya kuhifadhi mawasiliano ya wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali wenye ofisi,ili iwe rahisi kwa wateja wao wapya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kuchukua mkopo wa milioni 10, kwa ajili ya kukopesha. Naombeni ushauri kama hii kitu inafaa, pia mambo ya kuzingatia.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Biodiesel ni mafuta yatokanayo na mimea kama karanga,mawese,alizeti na mengineyo,yanayofanya kazi kwenye vyombo vya moto vyenye kutumia engine za diesel kama magari na majenereta. Nimefanya...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeshauriwa nikajaribu soko morogoro kuna wathailand ,naomba nijue estimate price inisaidie kubagain ,mawe yenyewe ni ta kati ya gram 1 hadi 2 ,clarity ya wastani
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wapendwa nataka kuchukua mafao yangu NSSF ila nasikia wanaweza kukuzungusha hata mwaka mzima. Je, nitumie njia gani nifanikishe kwa haraka?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nahitaji kusajili kampuni,sina memorandum, just idea ndio ninayo.Naomba anaye weza kuifanya kazi hii ya kuandika memorandum na kufanya usajili afanye haya hapa chini. 1. Aandike kwenye hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi kuna mtu yeyote anayefahamu kitu kinaitwa Paid Surveys au Paid Survey at Home?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele.....Ninahitaji meter flan za Maji aina ninayotaka hapa DAR hakuna nimekuja humu nikiamini kila kitu kinachohusu biashara kinawezekana ... Ombi km kuna mtu anajua MADUKA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni mteja wa CRDB na mshahara wangu unapitia hapo, sasa nataka kutumia kadi yangu kufanya manunuzi ila nitatumia paypal kwa usalama wa fedha, je kuna tatizo au niendelee na hatua nyingine...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkakati wa Insignia kuinua maisha ya mafundi rangi nchini Kampuni inayoongoza kwa uzalishaji wa rangi Maalum, Insignia Limited imeendelea kuonesha nia yake ya kutoa huduma zinazomjali mteja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Wengi wenu wiki zilizopita mlipokea message kutoka tigo kwamba mmechaguliwa kuingia kwenye kundi muhimu la wateja wa malipo ya baada. Na kwamba mtembelee maduka ya tigo muunganishwe au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Ninaitaji kufahamu jumla ya gharama za kutoa gari bandarini, aina ya Nissan X trail ya mwaka 2007. Ina 1990cc. CIF price Ni USD 6361.
0 Reactions
87 Replies
21K Views
Nahitaji kampuni ya kuweza kushirikiana nayo kwa ajili ya kusajili kampuni za wateja wangu ninaowashauri kwenye biashara zao.Sitaki mtu binafsi kwa sababu nimefanya kazi kadhaa na watu binafsi ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefatilia mkopo wa wafanyakazi NMB Morogoro na kukamilisha masharti, cha kushangaza ni zaidi ya wiki moja imepita hajanipa pesa, sababu wanayoitoa ni eti mtandao unasumbua nchi nzima, how comes...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaJF, nawapenda, nawakubali sana. Najua humu kuna watu wa aina tofauti,na wamebarikiwa kitofauti, so every one's view is special and important to me! Me ni jinsia ya 'KE' umri 24+...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Kwa wale wanaoijua Angola, je vitu gani vyaweza pelekwa Angola kutokea Marekani? Asanteni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba thamani ya pesa ya Zimbabwe ipo chini sana mpaka wamefikia hatua ya kususa kuitumia, pesa ya afrika kusini pamoja na dollar ndio zinatumika zaidi. Lakini, je? hakuna fursa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Heshima yenu Wakuu.... Nimejitokeza kwenu kuomba msaada wenu..mara nyingi nimekuwa na marafiki (Hasa Jinsia ya Ke) wanaolalamika juu ya Miili yao kunenepa vibaya na kujaribu dawa lakin zimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini Every year huyu jamaa anatoa misaada ambayo ina worth millions of dollars, tena ana kampuni ya uchimbaji Tanzanite (Tanzanite One) Few years ago dewji alikuwa na networth ya dollar...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…