Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

We have more than 15,000 Poles ready for sales, We have different sizes ranging from 9m, 10m, and 12m poles. The poles are well treated with CCA and our prices are negotiable.whoever is interested...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Habari Wakuu, The car is BMW X3 sports- limited edition Year- 2005 Mileage 90,000 km cc 2400 Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Swali rahisi sana; kama mteja anaweza kununua kwa mtu yeyote, kwa nini aje kununua kwako? Unaweza kujibu swali hili? Kama huwezi upo kwneye hatari. Ila usijali, nipo hapa ili tuweze kusaidiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna watu humu wanaleta matangazo ya Semina za siku moja kupata Masoko kwa gharama za Dola 700, zaidi ya Tshs. 1,260,000/=. Hawa watu hawana tofauti na matapeli wakubwa wanaotaka kupata utajiri wa...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Wanajamvi napenda kuuliza kwa mtu mwenye taarifa za kina juu ya bei za bati migongo mikubwa gauge 28 ambazo zinategenezwa na Aluminium Africa, ni shilingi ngapi kwa running meter au square meter...
0 Reactions
3 Replies
41K Views
Wadau naombeni ushauri ni tractor aina gani yenye uwezo wa kung'oa miti/visiki na kulima pia. Je inapatika hapa nchini?
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Pamoja na uwezo mkubwa ambao tunao, pamoja na maarifa mengi tunayoweza kujikusanyia bado hakuna mtu anayeweza kuitabiri kesho kwa asilimia 100. Hakuna. Hakuna anayejua ni nini kitakachotokea...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Timiza ndoto zako za kukuza kipato chako na kudumisha afya yako kupitia kahawa iliyowekwa uliyowekwa uyoga mwekundu yaani ganodema luccidun kwa mawasiliano nipiem nitakupa maelelekezo na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The sub-Saharan Africa's leading cement producer, Dangote Cement, said it will begin production of cement in Tanzania's Mtwara region in August. This is contained in a statement by the Office of...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Top 10 Habits that make you rich 1. Set Daily Goals It's not enough to set long-term goals, you need daily goals. At the end of each day, reflect back on what you did and...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Unajua nimesikiliza waziri Saada Mkuya akihojiwa star TV kuhusu kushuka kwa shilingi kwa dola, alijibu hivi "Ni kweli imeshuka kwa dola, lakini pia tumepanda dhidi ya fedha nyingine kama yenu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna swali ambalo huwa linaulizwa tena na tena na tena yaani kila siku swali hili linaulizwa. Hata nitakapomaliza kuandika hapa, mtu akipiga simu au kuandika email atauliza swali hilo. Swali...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF...Nimevuna njugu za kutosh sasa natafuta soko lenye bei nzuri tafadhali tuwasiliane....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wana JF! Naomba anayefahamu kuhusu jinsi ya kupata mashine ya Betting ktk masuala ya mpira wa miguu ili kuwa wakala wao.Pia kama unafahamu faida yake na je unatakiwa uwe na kianzio cha...
2 Reactions
19 Replies
19K Views
Hapa mnasemaje wazoefu kuhusu mikopo ya benki kwa wale wanaolipwa mishahara kuanzia laki tatu hadi laki tano(300,000 - 500,000), je italeta faida au hasara?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
habari wakuu kwa wenye uzoefu wa kufanya biasha tzee to south nisaidieni info za NAULI za mabasi kutoka dar to zimbabwe thn zimbabwe to SA,or dar to lusaka thn lusaka to SA, tufunguane tafadhali...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimekuwa nafuatilia mabenk na kujiridhisha kuwa, kwa kiasi kikubwa, mikopo yao wanayotoa sio rafiki kwa wajasiriamali wachanga. Kimsingi wanahitaji marejesho makubwa kiasi kwamba kwa mtu anayeanza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wanajamiii; hasa wale wadau wa ujasiriamali. Nahitaji kujuzwa kwa maeneo ya Bunda ni fursa zipi zaidi za biashara naweza kushugulika nazo. Nahitaji kwenda, ikibidi hali ya mzunguko wa pesa wilaya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni mkulima wa matunda mbalimbali. Nataka kulima Komamanga, nauliza kilimo hicho kitanitoa? Soko lipo? na kama una uhakika wa soko hilo nijulishe tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kuelimishwa juu ya mahesabu ya kukokotoa VAT kwenye mauzo yenu ya umeme wa TANESCO. Nimeona kuwa TANESCO wanakosea kukokotoa VAT kwenye kiasi anacholipa mteja. Badala ya kukokotoa VAT...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom