Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nipo Dodoma, nataka nianze kupga biashara ya karoti niwe naleta kutoka Mbeya. Kwa wateja,wanunuziau waliofanya biashara hii, ushauri tafadhari pia tunaweza peana contact kwa ajili ya biashara...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kufuatia kukua kwa teknolojia ya kompyuta kwa sasa sekta tofauti tofauti zimeweza kuchukua fursa hiyo na kuitumia ipasavyo katika maeneo ya msingi; sekta ya upakaji rangi pengine ni moja kati ya...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Ni wasaa mwingine watanzania wenzangu tukibadulishana mawazo katika mtandao huu adhimu kwa mada motomoto, natumai mungu amewajalia heri katika shughuli zenu za kila siku.Wote ni mashihidi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Habari za mchana wadau? Nina mpango wa kuhamia kanda ya ziwa, specifically mkoa wa Mara, Tarime. Naomba kwa wenyji mnitoe upofu, kuna fursa gani za kibiashara huko...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hi wadau, Eneo gani ndani ya Dodoma ni special kwaajili ya viwanda? Na kwa anaejua hayo maeneo bei zao zikoje, na je tayari palishajaa hadi sasa kama unataka kuanzisha kiwanda hadi ukodi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hamjamboni mabibi na mabwana na poleni na majukumu ya kujenga nchi yetu. Kama kichwa cha habri kinavyojieleza naomba ushauri juu ya hili swala ya mkopo. Mwaka jana nilichukua mkopo kwenye benki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nmekuwa na ubunifu mzuri sana wa biashara na kuna wakati nlibuni wazo zuri sana nikalipeleka kwenye kampuni flan ya simu ambapo waliomba wafanyakazi wenye mawazo ya biashara waandike mawazo yao...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hi guys, Naomba msaada, juzi nikiwa natembea kwa miguu maeneo ya Mwenge Sokoni nimedonndosha funguo ya Gari pamoja na ya ofisi. Mvua ilikuwa inanyesha sana. Je, kuna mtu anayeweza nisaidia namna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Peruzi hapa ujionee IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Msaada, naomba kujuwa yafuatayo; 1. Std size ya nyumba ya kisasa 2. Std size ya Master 3. Std size ya public toilet 4. Std size ya sitingroom na dining, kitchen. NB: nataka nyumba ya vyumba 2 na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wadau, Nina idea ya kianzisha chuo cha computer mkoani kilimanjaro, (kama college au institute) ila sifahamu ni wapi napaswa kwenda kupata kibali. Taharifa yoyote nitashukuru
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari zenu, Nimechoka kubanana kwenye daladala nataka japo na mimi ninunue kagari cha kunizunguusha mjini ila nipo njiapanda kati ya Honda fit,Toyot ist na Audi A4 ipi inaweza...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Je umewahi kufikiria kuitangaza biashara yako kufikia wateja wengi lakini gharama zikawa kubwa? Je umewahi kujaribu kuitangaa lakini bado ikashindikana kutokana na kiasi ulichotoa kutoendana na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba msaada kuhusu hii organization ya Golden New life Diamate, anaejua inavyofanya kazi na faida xake. Leo nmepita pita mtaani nkasikia hbr zake kwa juu juu ila kilichonvutia ni kwamba vijana...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
The Global Banking ‘Super-Entity’ Drug Cartel: The “Free Market” of Finance Capital The Global Banking ‘Super-Entity’ Drug Cartel: The “Free Market” of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nataka kufanya biashara ya kuuza ngozi ya ng'ombe nchi China .naomba mnifahamisha njinsi ya kupata ngozi na njinsi ya kuichangua ngozi iliyo high qualinty .wapi kwa kuinunua ngozi ?bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wachumi naomba mnijuze je kuna uhusiano wowote wa kuporomoka kwa thamani ya shilingi na kufa kwa mashirika yetu? Wakati viongozi na wananchi kwa ujumla tunajiuliza kwa nini SHILINGI yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada, Kwa mliowahi kukopaNMB inaposemwa 0.75% ni bima ya Mokpo na 1.5% in loan officer tafsiri mini hasa na ukichukua mkopo wa 10 mil unakatajwe charges Zake na unapokea shilling ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kuna mtu ana line ya mpesa inayofanya kazi ma anampango wa kuuza. Aniuzie,hasa akiwa Singida mimi nipo Singida. Anipm kupitia 0784024004
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale tunaopenda kupata elimu kuhusiana na utaalamu wa biashara na ujasiriamali si mbaya tukawasiliana kupitia Whatsapp number 0657037203
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom