Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu ni taasisi gani inayohusika na kusajili mawazo mapya ya biashara ...nina idea yangu ambayo ni mpya kabisa naataka niisajili lisije kuibiwa
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Tarehe 12/04/2014, siku ya jumamosi, saa 9:00 kamili mchana, ukumbi ni Ubungo River Side Bar - Ubungo River Ride. kutakuwa na kikao cha pili cha wadau wote ambao wapo tayari kuleta mapinduzi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Binamiliki wasanii wa kizazi kipya , je nkitaka kuuza nyimbo zao kama caller tune nafanyaje ? Naombeni msaada wapendwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MBINU ZA BIASHARA JIBU LA KWA NINI WATU WENGINE NI MASIKINI NA WENGINE NI MATAJIRI Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?” Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata...
4 Reactions
10 Replies
7K Views
Kwa ajili ya maendeleo ya miradi/biashara zako sisi tunakuandalia WRITEUP sawasawa na hitaji na aina ya Mradi wako; Uwe mradi Mpya au unao endelea Writeup ni mhimu; Maana project documentation ni...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
KWA UFUPI Serikali inapaswa kupitia upya wajibu wake kwa kurahisisha mfumo wa kodi na ushuru, na kufanya mgawanyo wa mapato kuwa wazi zaidi. Sekta ya utalii kwa sasa ndiyo inaongoza katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu leo niko Handeni huku Mkoani Tanga kwenye mishe zangu! Kutokana na business nilizofuata ikanilazimu niende bank ya NMB kufanya transaction! Bahati mbaya nikiwa kwenye foleni nikisubiri...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
We were told that the shilling will stabilise! Since Beno said that the shilling has depreciated by 40 shillings. BYR BYE CCM!
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Salaam wakuu, nahitaji orodha ya hotels, lodges, na guest house zenye hadhi ambazo ziko under construction na ambazo zimefunguliwa hivi karibuni, popote Tanzania, kuondoa hapa Dar. Ukiandika na...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Husika na kiwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata hii networth/utajiri wa mtu au kampuni, kwa mfano wanavyo sema Oprah ana $ 2.5 bn au shahrukhan anazo $ 600 million.
0 Reactions
1 Replies
815 Views
[10:49pm, 4/27/2015] Mch. Kiondo: HALI YA HEWA SIYO SHWARI MIKOANI. Ikumbukwe tarehe 6.09.014 mkutano wa kitaifa uliokuwa ni maagizo ya serikali ili kupata wajumbe katika uwakilishi wa kitaifa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HI, wiki hii nimepata mzigo wangu kutoka online store ya asos, Huwa naagizaga viatu, Kwa ufahamu wangu huwa vitu vikiwa chini ya kilo mbili(2) huwa hulipii Ushuru/customs(TRA). Hiyo mizigo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoni wadogo habari zenu, Naombeni msaaada namba yangu ya NSSF Inatumika kwa watu wawili na wakwanza ndiye kapewa kadi yenye namba ninayotumia mimi ambaye sina kadi hiyo. Je...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, Hivi matumizi ya US$ kwenye domestic transactions (almost every big business i.e hotels, shopping malls nowadays zinacharge per usd) hakuna madhara yoyote kwenye uchumi wa nchi yetu?
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Hii nimekuta kwenye page ya PPRA, natafuta hayo mamilioni waliyosave sioni. Nisaidieni kusoma jamani, mi macho yangu hayaoni. Government ‘saves millions' through bulk procurement of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shilingi ya Tanzania imekuwa ikishuka thamani kila mwaka lakini hivi karibuni shilingi hii imeonekana kuporomoka na sio kushuka kwa kawaida. Kiuchumi, kushuka kwa thamani ya shilingi ni ishara ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta mtaalam wa kuandika Business plan ya dispensary katika eneo la kijijini lenye wakazi 20,000. Ni shilingi ngapi na kwa muda gani? Tuwasiliane kwa simu: 0752238263
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Read the story of one of the Training center in India that will take you through with example all the 8 facts that any business man should know and get prepared for 8 well demonstrated facts for...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Habari zenu wanaJF, Katika jukwa hili siku za nyuma pamekuwepo na mada mbalimbali kuhusu kukodisha au kukodishwa Magari Saloon, Truck ndogo mfano Suzuki Cary kwa ajili ya kufanyia biashara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom