Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji.
Natanguliza shukrani
Habari za majukumu wadau. Nina wazo la kuanzisha biashara ya petrol station lakini sina uzoefu wa biashara hii. Linalonifanya kuwazia aina hii ya biashara ni kwamba nina site Dar ambayo nafikiri...
Habar zenu wadau,
Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo...
Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu,
Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested...
Usihofu sana kwa ajili ya hiyo Title ila nachojaribu kusema biashara ni sawa na mwanamke unayetaka kumuoa kwahiyo ukidhani kwa mtazamo wako mwanamke huyo ni malaika au mkamilifu sana ni Lazima...
Jamani kwa mtu anayeelewa kuhusu ununuaji wa hisa na faida zake nikingeomba anieleweshe. Mfano nikinunua hisa za million 5 kwa muda wa miaka miwili naweza pata faida kiasi gani?
hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa voda na tigo wanapambana kuinunua zantel. uongozi wa zantel umekanusha na kuthibitisha hilo, etisalat group wameongeza umiliki wao mpaka 85% kutoka 65% na...
Wapendwa Wajasiriamali wenzangu, bado nauza laini zangu tajwa hapo juu.
Sababu ya kuuza ni shida binafsi
Piga 0717037091 / 0755345833 kwa mazungumzo zaidi.
Hi, am a tenacious mechatronic expert , with a lot of experience in electronic design. i also have an aptitude
towards analog circuits, high power switching control, as well as in small signal...
Salama Wakuu.
Nataka kuanza hii shughuli ya Utengenezaji wa vitambulisho vya Plastiki. Sasa nataka kujua
A. Vifaa vinavyo tumika mfano Printa, Cutting
machine etc
B. Software inayotumika...
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za makampuni...
Natafuta Mkopo wa milion moja na laki mbili.
Riba tutaelewana na muda wa kurudisha ni miezi 3. Maelezo zaidi nitampatia mhusika pamoja na mahali nilipo na dhamana niliyonayo.
Asante.
Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa...
This means that you i just take advice about the market, ihave to educate myself so i can see what's coming and have time to prepare.
If i don't plan on investing in financial education, then...
Hello Sir/Madam
It's my hope this email will find you well,As you might be aware of coming SabaSaba Trade fair - Exhibition 2015
ICT Planet is well committed to save you with any kind of printing...
Wakubwa, nalileta hili ktk sehemu hii maana linagusa uchumi kwa maana ya miundombinu, pamoja na mali za watu na mashirika. Eneo la hifadhi ya barabara, ni mira ngapi kutokea katikati ya bara bara...
WHY DO PEOPLE COME BACK EVERY YEAR?
Dear colleague,
I wanted to let you know that tickets for our world sales conference taking place June 2nd 2015 are selling faster than usual this...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.