Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Usafiri unaotumiwa na kampuni hii ya Mohamed enterprises kusambaza bidhaa zake hasa kwa hapa Dar ni Matrekta, Caterpillar, Lister Peter, au ni mashine za kusaga?
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Kufa kwa biashara nyingi ndogo ndogo na za kati MOJA YA SABABU ZA BIASHARA NYINGI KUFA NI HIZI a. Mtaji Mdogo Hili ni Tatizo kubwa kwa watu wengi sana, nasi hapa bongo pekee, bali ni nchi...
7 Reactions
9 Replies
10K Views
Salam kwenu wana JF. Natamani kufanya biashara inayohusiana na mitandao..mfano Uwakala wa Fahari huduma...Equity bank...Mpesa... Tigo pesa nk...nsaidieni wakuu. Kuna mfadhili anataka kunisaidia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za kazi wakuu Nitumie Umeme wa Solar au wa Jenereta?? Samahanini naomba ushauri juu ya mada tajwa hapo juu ; Kama ni SOLAR; Vipi gharama yake ipoje hadi ufungaji wake NB; Nahitaji kwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za leo mpenzi msomaji wa AMKA MTANZANIA, ni matumaini yangu kwamba unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako. Kazi yetu sisi ni kuwa pamoja na wewe kwenye safari hii...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Africa creates TFTA - Cape to Cairo Free-Trade zone African leaders have agreed to create the continent's largest free-trade zone, covering 26 countries in an area from Cape Town to Cairo. The...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Katika makala nyingi ambazo nimekuwa naandika za kushauri watu kuingia kwenye biashara nimekuwa nikitaja biashara ya mtandao (network marketing) kama njia moja wapo ya mtu kuanza biashara kwa...
2 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu.nilikuwa naomba msaa juu ya hii biashara ya kuwa wakala wa maximalipo.sijawahi fanya hii biashara.nataka niiweke dukani kwangu iwe kama kipato cha ziada. Na je ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kuna thread moja nilisoma kuhusu kununua mizigo kutoka China kupitia website ya alibaba. Nahisi iliwekwa na ndugu mwasalemba kama sija kosea. Nimeicheki sana hii website kwa siku...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Jamani mwenye kujua maana ya hivi vitu na jinsi/wakati gani vinakuwa applicable na kipi kinaanza na kufuatia anijulishe: Petty Cash book/Voucher Cash Sale Proforma Invoice Receipt na nyingine...
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabishara tz(JWT) jumuia ya wafanyabiashara tz bw. Johnson minja ambayo inatarajia kusikilizwa siku tatu mfulizo, na utaratibu wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina mpango wa kupeleka matangazo ya Biashara sehemu tatu (3); Radioni, kwenye Luninga (Tv) na kwenye mitandao ya kijamii ya hapa hapa nyumbani (blogs) kama JF. Sasa Je, kama ni Radio...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau kuna mtu ashawahi import gari au kitu na hawa jamaa maana kama nna mashaka nao sana...Ni kampuni ya ukweli?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heavenly Father, I Come before you today to ask for a financial blessing to improve my life. My faith keeps me strong, and I know you will provide for me and the people I love. I do not seek a...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
mie nimekisoma kimenisaidia sana kwani nimebadilisha mazingira ya kitabu na kukifanyia kazi uswahilini. tafadhari kipitie nawe
8 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu,naomba msaada wenu ni biashara/mradi gani waweza kufanikiwa ndani ya Iringa mjini????? Au kutokea Iringa mjini???? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wewe kama great thinker, naomba leo tujadili swala la vyanzo vya mapato ambavyo serikali yetu aidha imevisahau au haijui kama vinaweza kuza Pato la Taifa, naomba uorodheshe vyanzo vya mapato...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wanaJF Naomba kama kuna mtu humu ndani anafanya biashara ya stationary katika wholesale ani pm. Samahan kwa usumbufu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanabodi, Ili kuondokana na utegemezi nimetamani kuanzisha saluni ya kiume iliyo bora na ya kisasa. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom