Wadau,
Kuna ndugu yangu kapata kazi na analipwa milion moja (1m) take home kwa mwezi, je anaweza kupata wapi mkopo wa kuanzia maisha? Anahitaji kama 1.2m na alipe kila mwezi kwa muda wa miezi...
Habari wakuu,
Nahitaji mkopo wa dharura ndani ya 24 hours wa sh million 3 kwa ajili ya biashara yangu. Mwenye kufahamu taasisi au mtu etc ambaye anaweza nikopesha hicho kiwango anifahamishe na...
Wakubwa shikamoo,wadogo hamjambo,
Wana jamvi, Naomba msaada kwa mtu anayefahamu,anayefanya biashara hii,wataalamu wa wanyama pori au wazo lolote na ushauri kuhusu wazo langu naomba anisaidie...
Kama kichwa kinavyojieleza,kwa wewe mwenye influence hiyo nitafute kwa kuni PM.Ni miti ya mbao aina ya pines.
Ni maeneo ya Iringa Wilaya ya Kilolo maeneo ya Dabaga.
Wastani kwa mti 1 wa...
Habarini wana jukwaa,
Mimi ni mwanamichezo hasa soka. Kutokana na upenzi wangu katika michezo & baada ya kufanya utafiti, nimefikiria kufungua Duka dogo la vifaa vya michezo...
Ni kwa wale wenye nia ya kununua online. Kama kuna masuala huyajui katika ununuaji kwa njia ya intaneti, nakualika tembelea web ifuatayo www.kalumbiloe.computer/fahamu
Kuna mada nyingi...
Wakuu,kunabiashara ambayo wewe graduate unaona kama vile haikufai au huna mpango nayo, ni biashara ya video show, biashara hii inahitaji mtaji wa mchanganuo ufuatao, tv ya chogo inch 21@ 100000...
Mimi nimeamua kusema kuwa TRA mnatuonea watanzania wenzenu. Nazungumzia ushuru wa magari.
Unakuta gari linauzwa Japan dola 100FOB, nalinunua na kulisafirisha kwa jumla ya dola 1400CIF.
Cha ajabu...
Ukifuatilia hii michezo ya kamari mathalani hizi za mitaani utaona kua hakuna uzalishaji wa aina yoyote isipokua kuhamisha pesa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, je kiuchumi kamari pamoja...
Habari ni wadau,naomba kujuzwa kwa wanaojua,nimesikia benki hulipa interest nzuri kwa akaunti ya mtoto,napenda kujuzwa ni asilimia ngapi hulipa kwa Mwaka,na je wanalipa kipindi gani,ni kila...
Namshukuru Mungu kwa kunipatia ajira Mwaka huu, kipato changu kwa mwezi ambacho nina uhakika nacho ni 2M,Je kwa kipato hiki naweza kweli kumiliki nyumba?
Wakuu ni hv mfano una biashara yako ya kawaida na ungependa kuuza hisa je? Nitaratibu kazi za kisheria ambazo unatakiwa kupitia ili kupata hivyo vipande vya hisa?Natanguliza shukrani
Wakuu nimejichanga nikapata kiasi flani cha pesa. Sasa nataka nitumie hii hela kujenga chumba babu kubwa cha duka na stoo hapa mtaani kwetu.
Itanigharimu kama 5 million maana kiwanja tayari kipo...
I would like to know if Tanzanians should continue to allow The Bank of Tanzania (BOT) to continue to be a custodian of our exchange rate mechanism and continue to regulate banks operating in the...
BRIEF;
Four corners ni mtandao unauza vitabu vya financial success. ili waweze kuuza wanatumia system ya network marketing. ni kwamba wanashirikisha watu wengine katika kutafuta masoko. kwa...
Need property oversees? We got what you need, over 10,000 listings all over Africa, Europe, America, Asia and Ocenia all in one click. Click the link bellow and start looking for your next home...
Hivi hii inakuwaje ubadilishaji wa fedha za kigeni na Soko la hisa?
Nimekuwa nikiona kwenye taarifa ya habari ya Star TV kuhusu ubadilishaji wa fedha za kigeni, je wana bureau au nikitaka...
Katika biashara kuna mitazamo miwili mikubwa, mtazamo wa kwanza ni wa kuvuna, na mtazamo wa pili ni wa kujenga.
Mtazamo wa kuvuna.
Hapa ni pale ambapo mfanyabiashara anaangalia ni kitu gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.