Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Inafahamika wazi ni mtu gani duniani anawazidi wengine kwa utajiri, umri, uzito, kukimbia, n.k lakini sijasikia ni watu gani duniani kwa ujumla wao wanawazidi watu wengine kwa ujumla wao pia kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jana rais Kikwete amesihi suala la kuwekeza kwenye science, lakini maneno yake hayaendeni na kinachoendelea. Hebu fikiria ni mara ngapi kwa siku umeona vipindi kwenye vyombo vya habari kama tv...
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Naomba msaada toka kwenu: *bei za shed net *wapi naweza kuzipata
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa fedha yetu, hadi jana tarehe 25/6/2015 exchange rate ilikuwa inasoma 1US Dollar = 2283.75 Tsh, na hiyo ni kwa wastani, kuna sehemu inaenda mbali zaidi ya hapo, wadau...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Nisingependa kuwachosha naomba nijikite kwenye uzi moja kwa mojakama title ilivyojieleza, kwa yeyote mwenye kujua,naomba anijuze yafuatayo kihusu mashine zinazotumika...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tunaipongeza kampuni ya Azam Marine kwa kuleta boti mpya na ya kisasa Kilimanjaro V. Hongera sana Azam Marine kwa kuboresha usafiri wa majini Tanzania. Tunaomba muanzishe na kampuni ya mabasi ya...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Darproperty Tanzania inawatakia mfungo mwema wa Ramadhani waislamu wote.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta masoko ya green tourmalines of germ quality, pia other tourmaline stones apart from green types are available, anayefahamu please check with me...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kumbuka miaka ya 90s kampuni ya vinywaji baridi ya Pepsi ilipoteza soko tanzania mpaka kupelekea kiwanda kufungwa kwa miaka kadhaa, sasa Pespi wamekuwa na katabia kabaya sana ambacho...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilienda kutafuta hivi vifaa, kumbe tunatengeneza wenyewe kabisa.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 7 "I appreciate the opportunity to manage money for others. A lot of people don't enjoy it, but I do." – Mike Melissinos Name: Sam...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Naomba kufahamishwa kama mtu binafsi anaweza kubadili fedha benki kuu na kwa kiwango gani na kama kuna utaratibu wowote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu kampuni ya maxmalipo, hasa wale mawakala au kwa yeye kujua. Ni miezi kadhaa sasa machine maxmalipo zimekuwa zinausumbufu mkubwa sana, nikiwa na maana mara nyingi...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
MASWALI YAULIZWAYO MARA KWA MARA 1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Kumbuka miaka ya 90s kampuni ya vinywaji baridi ya pepsi ilipoteza soko Tanzania mpaka kupelekea kiwanda kufungwa kwa miaka kadhaa, sasa pespi wamekuwa na katabia kabaya sana ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania tuinuke sasa kwa kujitafutia kipato na kuondokana na umasikini! maendeleo yatafanywa na wewe mwenyewe na sio serikari ikulete pesa nyumbani kwako hizo ni siasa tuu!! Future strategic...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
I am Tanzanian lady, I own a small private company that deals with different types of business but luck of capital. I need a business partner with enough capital whom we can do legal business...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wafanyakazi wengi wakiwa kazini wamekuwa wakihangaika na kuanzisha mradi mdogo ama biashara, katika safi hii leo tunaanza na vidondoo vya kuwa wajasiliamai huku wakiwa kazini; *Ukipata Wazo Na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam wadau!Naomba kwa yeyote ajuaye anijuze nami namna kıası cha fedha ambacho mkopaji anatakıwa kurejesha bank km riba kwa kuzingatia muda wowote.Nimefuatilia kwa baadhı ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu, Idea yenyewe ni hivi, kukopesha wahitaji wa pesa ndogo ndogo watumishi wa uma kwa riba ya 10% kwa mwezi, mfano mtu anakuja unampa laki1, cash then wewe unasubiri mwisho wa mwezi unachukua...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom