Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanajf, Naombeni ushauri wa kipi ni bora kuweka pesa benki au kwenye Saccos. Kumbukeni mimi ninachohitahiji ni faida!
0 Reactions
5 Replies
955 Views
Wadau sample ya document moja ya kisheria inaitwa " deed of partnership". Naomba sana mwenye sample ya hii document anitumie kupitia e mail hii, lwitikok@gmail.com Natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys kuna mtu yoyote anaifahamu hii taasisi? Maake nasikia inato mikopo na kwa njia ya mobile ndani ya dk45, kama kuna mtu anaifahamu in details anijuze tafadhali? Wapka.mobi
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Kama wewe ni mmojawapo basi nicheck tufanye kazi hadi Mozambique, nicheck whatsapp kwa number +258866131115
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania Business Community chairman Johnson Minja speaks at a past event. Dar es Salaam. Tanzanian traders are planning to establish their own bank in a move meant to help businesspeople get easy...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Salam kwa wote, Wapendwa, nina wazo la kumiliki duka la jumla la vyakula DSM, naomba mwenye uzoefu wa biashara hii, naomba kufahamu vifuatavyo: Aina ya vyakula vya kuanza navyo na vinahitajika...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari wanajamvi, Maisha bila kazi haiendi, kamwe huwezi kufanikiwa bila kujishughulisha, na nchi yeyote dunia uchumi wake haiwezi kuimarika bila wananchi wake kujishughulisha. Karibu; Kijana wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada waungwana, nataka kufaham gharama halisi ya kuitoa gari bandarin used car kutoka Dubai aina ya toyota carina
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapendwa wana Jamvi, Niko kwenye mawasiliano na hii kampuni inayojishughulisha na kuuza magari yaliyotumika huko Japan. Wenye hii kampuni ama ni wahindi au Wapakistani. Nimeongea nao kwa simu na...
2 Reactions
96 Replies
18K Views
Wana JF habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa wawekezaji sekta ya gesi na mafuta nchini TZ wamepunguza uwekezaji wao kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata wafanyakazi katika sekta hiyo wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish Because of the events in the Eurozone, EUR pairs might open with gaps this week and in case the gaps happen, they would...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Ndugu wana JF,nina imani kubwa jukwaa hili lina unganisha watu mablimbali wenye uwezo na vipaji vingi.pia ni njia /sehem muhimu kama kiungo cha jamiii.Kwa leo nina shida ya kumpata mtaalamu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nasikia TSH imeimarika nimeambiwa exchange rate ya leo 1USD=2050TSH, kwani kale kamkopo ka dola mil 800 kamesha patikana? Wahenga walisema ukimwona kobe juu ya mti ujue kawekwa. Siamini kama...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nina uwezo wa kusave 600.000 kila mwezi nko mkoani Arusha bado sina kiwanja ni mfanyabiashara mdogo. Je, nitaweza kujenga ka self contain na kununua kiwanja kwa hiyo saving au najidanganya?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nili post uzi unaozungumzia ni jinsi gani utakuwa Middle Class, yaani kuteseka ki –uchumi, kama ndio kwanza unaanza maisha na unafuata fumula ya walio wengi, yaani kununua gari...
29 Reactions
79 Replies
15K Views
Habari wadau? Kuna mwenye idea, juu ya viingilio vya saba saba ya Mwaka huu? Kiingilio cha 10 days - mtu mzima mmoja Kiingilio cha 10 days - Gari ndogo. Na mwisho ningependa kujuwa kuwa ni...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari ndg zangu, Kuna jamaa yangu yuko Kagera toka mwaka jana ananishuri tukachimbe madini ya TIN uko kwao kyerwa, sasa basi, naomba msaada mwenye kujua hii biashara ya madini ya TIN tupeana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana jamvi poleni na majukumu. Naomba ushauri kutoka kwenu kuhusu upakaji rangi kwenye nyumba. Nimepata ugumu au shida katika kufanya maamuzi kwa haya yafuatayo. 1. Kuna upakaji wa rangi kwenye...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Kuna mtu ameniomba nimuandalie andiko la mradi wa ufugaji wa kuku, nilikuwa naomba msaada wa kupata taarifa mbalimbali kama ifuatavyo; bei ya vifaranga wa nyama kuku wa kisasa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom