Nina nyumba yangu nataka kuifanyia valuation bila kutumia valuar wa manispaa...detail zote za nyumba ninazo na ninataka kuifanya mwenyewe.....hesabu zake nimwsahau kidogo....maengeneer na valuar...
Naomba msaada Wakuu,
Kiasi hicho tajwa cha fedha nakihitaji ndani ya Mwezi huu wa 6, nanunua kwa shilingi ya Kitanzania au dollar ya kimarekani USD.
Shukrani
Tanzania inaangamia kwa bidhaa hovyo kabisa kutoka uchina,pochi,viatu,mashuka zote hovyo kabisa sb sio ngozi ni plastics sijui kwanini watz wanaendelea kuwa na uhusiano huu na watu hovyo kabisa...
Habari.
Hapa mkoani Mbeya bei za piki piki zimepanda kidogo, mfano Sanlg ilikuwa inauzwa mil.1.7-8 Leo inauzwa mil. 2. Boxer ya mil. 2 sasa inauzwa mil. 2.25.
Napenda kujua the motive behind...
Precision air inakabiliwa na madeni mengi na pia hailipi kodi ya mapato, na ilinunuaroute nyingi ambazo hawawezi kuzi service jinsi inavyotakiwa.
Ufisadi uliomo ndani ya kampuni ya Precision...
Habari zenu wadau wenzangu wa biashara na uchumi,
Ni kweli niko kwenye transition period, kutoka level moja ya kiuchumi, nahitaji kufika hatua nyingine!Mpango wangu uko hivi wadau, nimejiandaa na...
Habari wadau wa JF, natafuta stationery inayouza plain pen zinazotumika kuprint company logos, kama una stationery au unafahamu zinapouzwa please naomba msaada wako, contact nami kwa no 0754 200...
wAKUU,
Naomba ushauri jamani, kuna hawa jamaa wa post paid wametuvamia hapa job wanauza hiyo service kwa tigo na zain... wamejaribu sana ku-market products zao lakini nina wasiwasi na bottom line...
Kupanda kwa US dola nakuporomoka kwa Tsh.kumesababisha bizaa zinazotoka njee kupanda bei nahivyo kusababisha mauzo kua chini kwan wateja wanashindwa kufanya manunuz kwawing kama ilivyokua hapo...
TANZANITE STONE
Tanzania imebahatika kuwa na aina nyingi ya madini ya vito vya thamani kama vile dhahabu, almasi na Tanzanite.Wingi wa rasilimali hizo za thamani duniani umekuwa ukiwafanya...
Kwa wale tu wenye uhitaji wa kweli wa kuandikiwa ANDIKO lolote la MRADI wa aina yoyote, FURSA hiyo ipo kwetu KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED , Tutakutayarishia kwa kadri ya uhalisi wa Mradi...
Baada ya utafiti usiopungua miaka miwili nikusanya taarifa za asasi zote nchini.. Nawasilisha.
Orodha hii ipo katika makundi matatu.
1. Asasi za kimataifa
2. Asasi za kitaifa
Imeshereni taarifa...
Zifuatazo ni sababu kwanini mimi nafanya biashara ya Mtandao na sio biashara ya kizamani. Karibu sana katika biashara hii ya karne ya ishirini na moja;
Hii ni biashara ambayo utaingia ubia na...
Kutokana na kukua kwa tekinolojia.Imefika wakati kwa taifa letu tutengeneze mfumo maalum wa kuangalia tumepata nini kwa kila siku na saa ngapi pato limeingia na pato hilo limetokana na kitu gani...
Ndesamburo alivyotumia Sh1b kutoa ajira kwa vijana 1,000
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, anaweza kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kutokana na staili yake ya kuuaga uwanja wa...
Hongera kwa kuanzisha huduma ya NMB Mobile ...
Changa mota kubwa Mnayo kumbana nayo hivi sasa ni Promosheni-Promotion ya huduma hiyo!!
Lakini hata hivyo sio kazi kubwa sana!!Ni kuwekeza fedha-na...
Hii ni kwa Natinal Security Social Fund...
napenda kuchukua nafasi hii kuwapa wazo jingine lenye faida kwenu...
Ina wezekana kabisa asilimia kumi mchango kutoka kwa muajiri ika bakia hivyo...
Kipindi cha zamani kabisa, enzi za mwalimu, "Tsh" ilikuwa na thamani kubwa, kiasi kwamba mtu aliweza kujenga nyumba bora na ya kifahari kwa Tsh 800 Tuu! Ila kutokana na hawa viongozi wetu na...
Mpenzi msomaji je ushawahi kukaa chini na kujiuliza ni ma Professor wangapi ma billionaire duniani? Au waalimu, ambao ndo wataalamu wa kufikiri inavyosadikika?
Hawa ndo chanzo cha umaskini..sina...
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imepokea malalamiko kutoka kwa wasambazaji wa filamu kuhusu ushushwaji wa bei za filamu uliotangazwa na Kampuni ya Steps Entertainment.
Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.