We have more than 15,000 Poles ready for sales, We have different sizes ranging from 9m, 10m, and 12m poles. The poles are well treated with CCA and our prices are negotiable.whoever is interested...
Habari Wakuu,
The car is
BMW X3 sports- limited edition
Year- 2005
Mileage 90,000 km
cc 2400
Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just...
Swali rahisi sana; kama mteja anaweza kununua kwa mtu yeyote, kwa nini aje kununua kwako? Unaweza kujibu swali hili? Kama huwezi upo kwneye hatari. Ila usijali, nipo hapa ili tuweze kusaidiana...
Kuna watu humu wanaleta matangazo ya Semina za siku moja kupata Masoko kwa gharama za Dola 700, zaidi ya Tshs. 1,260,000/=. Hawa watu hawana tofauti na matapeli wakubwa wanaotaka kupata utajiri wa...
Wanajamvi napenda kuuliza kwa mtu mwenye taarifa za kina juu ya bei za bati migongo mikubwa gauge 28 ambazo zinategenezwa na Aluminium Africa, ni shilingi ngapi kwa running meter au square meter...
Pamoja na uwezo mkubwa ambao tunao, pamoja na maarifa mengi tunayoweza kujikusanyia bado hakuna mtu anayeweza kuitabiri kesho kwa asilimia 100. Hakuna.
Hakuna anayejua ni nini kitakachotokea...
The sub-Saharan Africa's leading cement producer, Dangote Cement, said it will begin production of cement in Tanzania's Mtwara region in August.
This is contained in a statement by the Office of...
Top 10 Habits that make you rich
1. Set Daily Goals
It's not enough to set long-term goals, you need daily goals. At the end of each day, reflect back on what you did and...
Unajua nimesikiliza waziri Saada Mkuya akihojiwa star TV kuhusu kushuka kwa shilingi kwa dola, alijibu hivi "Ni kweli imeshuka kwa dola, lakini pia tumepanda dhidi ya fedha nyingine kama yenu ya...
Kuna swali ambalo huwa linaulizwa tena na tena na tena yaani kila siku swali hili linaulizwa. Hata nitakapomaliza kuandika hapa, mtu akipiga simu au kuandika email atauliza swali hilo.
Swali...
Hello wana JF! Naomba anayefahamu kuhusu jinsi ya kupata mashine ya Betting ktk masuala ya mpira wa miguu ili kuwa wakala wao.Pia kama unafahamu faida yake na je unatakiwa uwe na kianzio cha...
Hapa mnasemaje wazoefu kuhusu mikopo ya benki kwa wale wanaolipwa mishahara kuanzia laki tatu hadi laki tano(300,000 - 500,000), je italeta faida au hasara?
habari wakuu kwa wenye uzoefu wa kufanya biasha tzee to south nisaidieni info za NAULI za mabasi kutoka dar to zimbabwe thn zimbabwe to SA,or dar to lusaka thn lusaka to SA, tufunguane tafadhali...
Nimekuwa nafuatilia mabenk na kujiridhisha kuwa, kwa kiasi kikubwa, mikopo yao wanayotoa sio rafiki kwa wajasiriamali wachanga. Kimsingi wanahitaji marejesho makubwa kiasi kwamba kwa mtu anayeanza...
wanajamiii; hasa wale wadau wa ujasiriamali.
Nahitaji kujuzwa kwa maeneo ya Bunda ni fursa zipi zaidi za biashara naweza kushugulika nazo. Nahitaji kwenda, ikibidi hali ya mzunguko wa pesa wilaya...
Mimi ni mkulima wa matunda mbalimbali. Nataka kulima Komamanga, nauliza kilimo hicho kitanitoa? Soko lipo? na kama una uhakika wa soko hilo nijulishe tafadhali.
Naomba kuelimishwa juu ya mahesabu ya kukokotoa VAT kwenye mauzo yenu ya umeme wa TANESCO.
Nimeona kuwa TANESCO wanakosea kukokotoa VAT kwenye kiasi anacholipa mteja.
Badala ya kukokotoa VAT...