Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanandugu habarini za asubuhi. Ninataka kuanzisha kabiahara na nimeshauriwa nianze kama kampuni. Hivyobasi, najua humu kwenye jamvi hakikosekani kitu. NAOMBA MWENYE KUJUA JINA ZURI LITAKALOENDANA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bei za Masaki,Oysterbay, Nyumba za Biashara, Mikopo ya nyumba kuporomoka. Bei za Kigamboni, Mikocheni, Kijitonyama, Msasani kupanda. Karibu mwaka 2015, mwaka huu Tanzania inategemea kushuhudia...
6 Reactions
8 Replies
4K Views
Dear Friend, As you probably by now know, we are bringing the legendary Brian Tracy to Tanzania on 2nd June 2015 for the World Sales Conference 2015. Brian has written over 65 bestselling...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Wandugu natarajia kuagiza mashine mpya kabisa Tanzania ya Kufanya simu isiingie maji, smart phone yeyote na simu isiyo smart phone
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nikijana msomi mwenye umri wa miaka 30,mkazi wa Kigamboni Dar es salaam.Nampango wa kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji katika shamba langu la hekari zaidi ya10.Kwa kuanza nimechimba...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Darproperty Magazine March edition is now available online packed with East Africa's real estate insight. Click the kink below to read it now....The Magazine.
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Kwa mtaalamu wa haya mambo.Kuna haka ka gari suzuki carry 2001 nimekapenda. Nimeona bei yako FOB ni 816 $ na ukichanganya na transport mpaka port ya Dar es salaam inakuja mpaka $ 1950 ambayo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Catch up with us on our other social media by following us on #twitter and #instagram , like us on #facebook and connect with us on #linkedin don't miss a thing from Darproperty. Stay on the...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
umeshawahi kujiunga na market networking yoyote ambayo hadi leo hii hujaona mafanikio?hii haina utapeli ni ya kweli mimi nimeona,zanteli wakishilikina na kampuni ya rifaroafrica wameungana kufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maoni yangu kwa Serikali ijao: 1)Maendeleo ya viwanda nchini: Tukirudi nyuma mwaka 1961 Tanzania ilikuwa nyuma sana kwenye suala zima la viwanda ukilinganishwa na nchi zingine za Afrika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Ninatarajia kufungua bakery ya mikate na ninataka kuingia sokoni na quality nzuri sana!!! Natafuta mtaalamu wa utengenezaji kwa ajili ya ushauri na practical experience. Malipo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kuuliza, Bei za mafuta zimeshuka na zinazidi kushuka. Naomba kujua nini kinasababisha bei kushuka (nini kichocheo cha bei za mafuta kushuka) Asanteni Chimps
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bei Ya Sukari Imepanda Ghafla Kampuni Ya Sukari Kilombero kutoka 1650 hadi 1800 ndani ya kiwanda, huku tani za sukari zilzozalishwa kufikia 123,670 hadi sasa. lakini mishahara ya wafanyakaz bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Darproperty Tanzania is a proud host of The 2nd Darproperty Expo. A property exhibition featuring variety of local and international top brands in real estate and their sub-sector. To...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nahitaji kujua kama kuna sehemu hapa Dar es salaam wananunua ndege (birds) hasa chiriku (canaries) na kama ipo bei yake ikoje? Niliwahi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wasiliana nami kupotia 0657 740 797 dhamana : Gari| bajaji|nyumba yenye hati|gari ni rahisi zaidi kwani tutalilinda mpaka utakapomaliza deni lako lote|mkopo wa dharura pia upo sasa kazi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi habari ya kushinda,naomba mwenye ufahamu anifahamishe bei ya hizi basi za eicher au tata kama wazotumia UDA zinaenda kwa bei gani.
0 Reactions
7 Replies
17K Views
Wapendwa salamuni, Kuna mtu anahitaji Transmiiter ya radio kwa haraka haraka. Kama kuna mtu wanaJF anahiyo kitu au ana mtu wake anauza hiyo transmitter. Sifa za hiyo transimitter:- 1. Iwe na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kuyapata maharage ya kuuza mnadani ila ninahitaji toka kwa mkulima....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika jamii, mtu hutambuliwa kwa shughuli aifanyayo inayompatia namna halali ya kuishi.Tanzania tuna wakulima, wafanyakazi,wafanyabiashara, wajasiriamali na wale wasiokuwa na shughuli...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…