http://www.darproperty.co.tz/article/readArticle/39
Why do the real estate developers and landlords opt to quote in the US dollar?
Is it affecting our economy? how?
Perhaps you are wondering...
Wadau habari?
Naomba hiyo tittle ihusike, niambieni ipi ni bank ambayo naweza kukopa ikiwa na unafuu wa riba na makato. Mimi ni Mtumishi wa Serikali, naomba msaada wenu kujua kat ya NMB, CRDB...
Kwa wana Jf,
Leo nilikuwa nje ya Bank Moja ya Biashara nika bahatika kushuhudia mahela mengi yakisafirishwa. Pale kulikuwa na polisi (vijana) wawili wa umri kati ya miaka 25 na 30 hivi; ukweli...
Katika maisha haya tunayoishi,niliwahi kuambiwa mafaniko ni matokeo ya utekelezaji wa mawazo na utumiaji wa fursa sahihi katika wakati sahihi,yaani kwa ki ulaya "money follows great ideas", katika...
wakuu naombeni mawazo yenu hapa,
Hivi, kuna watu wana shida ya pesa ndogo ndogo ambapo siku hiyo imempiga chenga kutafuta, au kukopa, au mtu unakuta siku hiyo hali ni mbaya ya kiuchumi, ameenda...
Habari wadauz.....
Nimeamua kufanya biashara ya Nguo za Kike za Mitumba.....Nimepata chumba mlango mmoja(Mwanza ) ila mzigo ntakuwa nachukua DAR...kwa kupoint na Siyo Robota,Je ntapata wapi...
Habari wakuu! Naomba kujuzwa ni wapi kwa hapa dsm naweza kupata vifungashio (packaging) kwa ajili ya mayai ya kware na kuku ili niweze peleka supermarket.
Natanguliza shukurani.
Wapendwa wana Jf
Naona watu wengi wamekuwa wanaongelea magari na kusahau kundi kubwa la wajasiriamali waliopo kwenye pikipiki;
Napenda kukumbusha kwa wale wamiliki HALALI wa pikipiki kuwa mwisho...
Habari zenu wakuu...!
Natumai mnaendelea vyema kabisa wadau nna shida ya kujuzwa upatikanaji wa mashine za kutengeneza maboksi pamoja na ku-print wakuu.
Kama kuna yoyote mwenye kufaham hizi...
Wapendwa
kwa muda wa jioni huwa nakuwa kwenye mtandao kwa muda mwingi. Je kuna kazi ya kuni ingizia kipato naweza kufanya? iwe ya hapa nyumbani au ya nchi za nje
ie. Nimetumia muda mwingi sana...
Motor Tax Calculator(IUMVVS) ni kikokotozi cha ushuru wa TRA pamoja na gharama zingine za kuli clear gari lako bandarini. Kikokotozi hichi n rahisi kukitumia kulinganisha na ile inayotumika na TRA...
Natumaini kuwa wana Jf wote ni wazima na mnaendelea vizuri. Naomba mwenye inforamation ya usafiri wa road (luxury bus) kutoka Dar kwenda Nairobi with good facility, services na comfortability...
Be the owner of your business with Remax Tanzania world's top brand in real estate today. Dr Ovuc Aslan co-owner of Remax Tanzania master franchise reveals how on an exclusive interview with us...
Nataka kununua gari ya kutumia lakini napata taabu kidogo kujua ni gari ya aina gani itanifaa kwa kuzingatia kwamba napenda gari ambayo haizidi cc 2400, iwe na 4 wheel, wenyewe wanita SUV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.