Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wajasiriamali kuna hii fursa imeletwa na Fastjet kwenda & Kurudi South Africa kwa laki 5 tu jamani hii ni opportunity ya maisha ewe mjasiriamali changamkia hii fursa kwa kwenda kuchukua mali hapo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nilishasema ipo siku tutaenda moshi na kurudi kwa alfuu sitini na hiyo inaelekea kuja wapenzi wamoshi pigen sala msiache ,..wakati precission walikwua wakiwakamua watanzania dar znz dar 120000 leo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za hapa Jamvini wakuu. Natumai mu-wazima kabisa na bila ya kupoteza muda ningependa kueleza shida niliyo nayo ni kama MADA inavyosema kuwa nahitaji kampuni itayoweza kusafirisha mizigo...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari wandugu, Hivi ni kampuni gani kati ya M-Pesa, Tigopesa, Airtel Money na Ezypesa ambayo inaongoza kwa kulipa vizuri commision kwa mawakala wake? Ningependa kujua ambayo inaongoza na ambayo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Amazing 2 ensuite bedroom newly built apartment to let in Mikocheni. Fully furnished with modern furniture, balcony with a sea view, garden and a swimming pool. The apartment is located at a...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Tanzania ilipo,pamoja na rasilimali zake zote tulizonazo ni mtaji unaotosha kabisa kuifanya nchi yetu kuondoka kabisa katika kundi la nchi masikini sana duniani.Fedheha hii ambayo kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta mdhamini ambae atanipa bidhaa nikauze Mozambique kwa bei ambayo atanipangia yeye then mi nitajua niuze bei gani ili nipate faida, bidha ambazo mtu anaweza kunidhamini ni simu, viatu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hi JF members, Naomba mnijuze sehemu ambayo naweza kupeleka business idea yangu na nkapata funds....... Sehemu hiyo naomba iwe tofauti na benki kwa sababu sina mali ya kuchukulia mkopo. I have a...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau,mtu asiyekiwa muajiriwa,yaan ambaye ni self employed,anawezaje kujiunga na mmojawapo kati y mifuko ya kijamii iliyopo hapa bongo? Na je mafao yake yatalipwa kwa formula zinazofanana na wale...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
wanandugu, hongera sana kwa kufika mwaka 2011 salama salimini!!,. katika mwaka 2011 nataka kujikita katika kilimo.. lakini nataka nitumie kila njia niweze kufanikiwa. mojawapo ya njia ni kufanya...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Kwa kipindi cha muda kama wa miezi miwili iliopita, nimekuwa niichunguza kwa umakini mwenendo wa Uchumi wetu Tanzania. Nimeshangaa sana kuona sehemu kubwa ya Uchumi unashikiliwa na makampuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijabahatika kusoma mahali ambapo imedadavuliwa kwa kina kuhusu chanzo cha mgogoro uliosababisha Tanzania kupunguza idadi ya safari za KQ nchini. Anayejua tafadhali atuhabarishe.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wa biashara na uchumi.Nahitaji kupata watuwanaoweza kutengeneza nembo.(LOGO) ya taasisi ya fedha. Awasiliane nami kupitia gm.daimabrokers@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huku fastjet wakitimiza zaidi ya mwaka toka waanze huduma zao Tanzania, Kampuni ya Ndege ya Kenya imekiri kupungua kwa abiria kutokea Tanzania (Dar es Salaam & Kilimanjaro) kuelekea kwenye...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Kwa mawazo yangu Precision Air hufanya vizuri sana kwa wateja wengi wanaokwenda ofisini kwao moja kwa moja ku book safari PIA Huduma za mizigo iliyopotea/chelewa mnafanya vizuri TATIZO LENU;, kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi guys, Nimetenga pesa kwajili ya kufungua fresh meat Butcher, kubwa na ya Kisasa maeneo ya Sinza (Meeda/Lufungira). Butcher yangu haitauza red meat. Natazamia kuuza bidhaa zifuatazo: 1...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Jisomee mwenyewe na utambue kwamba pamoja na hayo lakini mimi mtanzania wa kawaida sioni la maana kiuchumi binafsi na bado uchumi unazidi kushuka tu!!!! Naamini hizi hotel zinajaa kila wakati, ila...
3 Reactions
53 Replies
15K Views
Kwa wale wanaoweza kuomba vibali ,nimeona topic hii nikaona tuchangie watakao vutiwa wanaweza kufanya .Huenda na wengine huko mbele tukaanzisha pia. unaweza kubonyeza kwenye link hapo chini...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wasalam wandugu jamaa na marafiki, Naomba mawazo ya kuchagu jina biashara ya bidhaa zifuatazo Tourism+Travel service and Vegetables supply. Nataka kutoa hizi huduma zote sasa kama unaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefikiria sana nikagundua hii ni moja ya fursa iliyo wazi kabisa. Wasichana wengi wa kazi wamekuwa wakitoroka kwa maboss zao wakiwa wameiba, wafanyakazi pia wamekuwa wakiiba kwenye maofisi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom