Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WanaJF, Juzi kuna jamaa yangu katuma mzigo wake kwa mke wake kupitia EMS services na kulipia hela kibao kutoka huku ughaibuni. Mzigo umefika, mwenye kuupokea kapigiwa simu aende akachukue mzigo...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
habari zenu wanajamii,mimi ni mjasiriamali nina miliki baadhi za biashara hapa dar es salaam nahitaji kutanua biashara kwa kuanzisha biashara kati ya kuuza nafaka ama duka la spare za gari...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnipe mwanga ni utaratibu gani wa kufuata ili niweze kufungua NGO, gharama na muda wa process nzima
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fursa hizi zimetolewa kwa wingi na mtandao wa simu wa Zantel namna ya kuzipata kwa aliye serious awasiliane nami kwa namba hizi 0773337466. Unaweza ku sms tu 'JF' nitakuwa nimeshakuelewa.
1 Reactions
53 Replies
12K Views
Wadau kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu nyingi kwa Wana JF wadau wa jukwaa chili, kwani mwanzo nilijitokeza nikitafuta msaada wa kununua Carry na Amen imekuwa hivyo Nakushuruni kwa hilo...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Salam, Hivi karibuni serikali kupitia body ya sukari Tanzania, Sugar Body of Tanzania ilitoa ruhusa kwa makampuni ya kitanzania kuagiza tani 5,000 za sukari toka nchi za nje. Sababu za kutoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii, Nlikua na idea ya kuanzisha chuo kinachotoa Certificate na baadae Diploma ya Mineral Processing/Metallurgy hapa Tanzania. Kwa sasa hivi,chuo yabidi kifate wanafunzi na kwa nchi...
0 Reactions
1 Replies
975 Views
Wadau, Kwanza kabisa niwatakie Heri ya mwaka mpya. Na pia nichukue fursa hii kuwakaribisha International Commercial Bank kwa kupata huduma zote za kibenki bila usumbufu wowote nakuvuna faida...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Naulizia mwenye kuifahamu vizuri Biashara ya kukodisha Tractor kwa kulimia, wakulima anieleweshe taratibu zake. Nataka kufanya Biashara hii, Ni mikoa gani inalipa sana?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
China iko mbioni kufungua Benki ya Kimataifa ya Maendeleo itakayokuwa na hadhi karibu sawa na IMF na WB baadaye mwaka huu. Imetoa furusa kwa mataifa yote kushiriki katika uanzishwaji wake kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
msaada kwa anayejua bei ya tv aina ya samsung inch 40 ama 42 mtumba kwa zanzibar.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakuu wa JF!!nilkua naombeni msaada nataka kujua wapi ntapata bidhaa za AMAZON Kwa hapa tanzania hasa zinazohusiana na madawa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wafanyabiashara wenzangu, nataka kuchukua mkopo wa shilingi milioni moja na laki za kitanzania, idea yangu ya kwanza ni kufungua banda la chips na kingine niwe na stationery flan ivi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimepata habari kutoka Mbeya kwamba wafanya biashara Jijini humo wamefunga maduka yao kuonyesha mgomo halisia, jana na leo hata wafanya biashara wadogo walio waoga wamegoma mpaka wakubwa waridhie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mtu yoyote anayejua eneo au ofisi ambazo zimesajiliwa kisheria na zinahusika na ununuzi wa Dhahabu hapa Dar es salam, ninaomba aniPM, na kunijulisha vizuri, juu ya bei ya bei dhahabu sokoni na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanabodi nawasalimu! nimekutana na taarifa ya uuzwaji wa hisa za Mwalimu Commercial benki (Mwalimu Commercial Bank), Hisa moja ni Tsh 500 na kiwango cha chini cha manunuzi ya hisa ni Tsh 100...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Sasa Ni Kicheko Kwa Kampuni Ya Sukari Kilombero, Bei Ya Sukari Yapanda, Godown Hakuna Kitu, Wafanyakazi Wanatarajia Nyongeza Nono Ya Mshahara Hapo Tarehe 1April,2015 Mwaka Wa Fedha. Mpaka Sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MFUMO HUU WA UMEME UTAKUONGEZEA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO Lengo la mfanya biashara yeyote ni kupata faida,lakini inapo tokea kuna sababu zozote zinakwamisha kufikiwa kwa lengo hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA UFUPI Taarifa hiyo inaeleza kuwa, licha ya pato la taifa kuendelea kuongezeka hadi kufikia asilimia saba, Watanzania wengi wanaamini kwamba hali ya uchumi nchini mbaya. Hivi karibuni, Taasisi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta mtu wa kushirikiana nae shambani kuvuna miti ya mbao aina ya mbula pamoja na miti ya mkaa shamba ni ekari 8000 lipo sumbawanga lengo ni kupanda miti mipya na kuanzisha shughuli za kilimo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom