Hostile kwenu wakuu...
Somo lahucka natagemea kupata pesa km 20ml mwishoni kwa mwa mwezi wa 5 so natamani kusafiri CHINA au DUBAI kufuata hayo material Lengo la kuja humu nataka kujua je kwa...
habari wakuu,naombeni msaada juu ya hili suala,je ni taratibu zipi za mwanzo mpaka mwisho ambazo zinatakiwa zifuatwe wakati unataka kusajili kampuni?
natanguliza shukrani,ukinisaidia mm na imani...
Ubabe wa serikali haukuuzi uchumi wa nchi, bali nchi legelege isiyokwenda kijasiliamali hubakia ombaomba na kuwa mtumwa wa kudumu. Serikali kaidi haijifunui upevu wake kwa njia ya kiuchumi bali...
Serikali itoe kipaumbele kwa wenye biashara ndogo ndogo na wasifanye mzaha na mali za watu jamani! Huu mtindo wa mgambo kuteka bidhaa za machinga kwa maslahi yao binafsi haufai kabisa!
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mafunzo ninayotoa utakuwa unaelewa kwamba tunajaribu kujenga utamaduni mpya kwenye biashara. Na utamaduni huu ni ule wa kufanya biashara kirafiki na kuwa na...
Mimi nina mwaswali kuhusu kodi ya magari Tanzania
1. Tax iliyowekwa inazingatia kuongeza kipato cha serikali
2. Kama swali la kwanza ni ndiyo basi je mmezingatia vipato vinavyotokana na magari...
Darproperty Tanzania is only a property guide where real estate owners or their agents and or their real estate brokers place their property's sale or rent information with or without pictures...
Tamasha la maonyesho ya nyumba na sekta shirikishi kufanyika kwa mara ya pili katika ukumbi wa Diamond Jubilee. V.I.P Hall, kuanzia tarehe 2-5 mwezi Mei mwaka huu 2015. Maonyesho haya yatajumuisha...
Dear Sir/Madam,
With regards to your inquiry, we will like to inform you that we are willing to meet supplies for CEMENT with immediate effect as per conditions and specifications below
Product...
Kama unahitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign...
Forum Members,
I am willing to help members who want to buy electronics i.e, Smartphones, Tablets, laptops, netbooks, cameras, camcorders and other gadgets including chargers, LCD screen, adaptor...
WHY DO PEOPLE COME BACK EVERY YEAR?
Dear colleague,
I wanted to let you know that tickets for our world sales conference taking place June 2nd 2015 are selling faster than usual this...
Jamani za kwenu wapendwa,
Eti ma group ya matangazo ya facebook ambayo yapo juu kwa kutangazia biashara yako ni yepi? Naombeni orodha please.
Asanteni.
Ndugu wa Tanzania nimekuwa nikifuwatilia kwa ukaribu vile bank hii vile inatoa huduma zake pamoja na bidhaa zake kwakweli mwenye macho haambiwi tazama, huu niwakati wa watanzania kujuwa kule...
Dear colleague,
We now have SILVER and GOLD generation; the old rule is changing and giving space to the new rule and principle. The big pool of SILVER and GOLD generation creates their...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.