Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mbinu bora kabisa itakayokuwezesha wewe kufanya biashara yako wka mafanikio ni kubadili mtazamo wako katika biashara unayofanya. Tulishakubaliana kwamba lengo la biashara sio kupata faida...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Resources Sunday, April 12, 2015 DAR ES SALAAM, Tanzania - Norway's Statoil recently discovered an additional one to 1.8 trillion cubic feet (tcf) of natural gas off-shore Tanzania. This...
0 Reactions
3 Replies
939 Views
Za muda huu watafutaji wenzangu. Mimi nina mambo machache naomba kujuzwa na kusaidiwa kupanua upeo. Kwa muda sasa nimekuwa na biashara yangu kichwani na kuiandalia business plan. I see myself...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Ni kigezo gani ambacho unatumia kupanga bei ya bidhaa au huduma zako? Je, unaangalia watu wanaweza kumudu? Je, unaangalia ni bei ipi itakuletea wateja wengi? Je, unaangalia wengine wameweka...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Biashara ya hisa inakuaje? CWT wanauza hisa na ninahitaji kununua ila sina elim ya biashara hii.
0 Reactions
13 Replies
7K Views
WanaJF, Kabla sijaajiriwa kazini nilifanikiwa kujenga Pagara (Nyumba haijaezekwa). Sasa napokea Sh. 405000/= kwa mwezi. Nimeshindwa namna ya kujibana ili nimalizie Nyumba yangu. Msaada wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Darproperty Magazine April issue is now available online. Read it and know how u can get a mortgage when building your own house, building cost for various building types and see all the best...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Kwa wenye UHITAJI wa kuandaliwa WRITE-UP yoyote kwa matumizi mbalimbali ya kimaendeleo, tafadhari wacha niwe MWANDAAJI wako. Nitakuandalia kwa uzuri kabisa, kwa muda mwafaka na kwa gharama...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Haya sasa ohh na sisi tunataka kumili Gesi haya habri ndio hiyo, Wazawa TWENDE ZETU tuakakamete hisa hizo za Gesi. Swala Oil & Gas (Tanzania) Plc will be selling up to 9,600,000 shares at a price...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimefanikiwa kupata line ya mbao nzuri ambazo zimeshakuwa treated kutoka USA lakini sijajua kodi ya mbao kutoka nje ikoje Tanzania. Mbao najua ni ghali sana kwenye ujenzi na nilitaka nikipata mtu...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
My name is Joseph Masaga from Msg-Technologies. A business Company I have stated to deal with different aspects starting with IT (Information Technology) issues. Msg has designed tax estimators...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Samahani wakuu, Naomba kufahamishwa kama vifaa vya solar kuja tanzania toka nje viko exempted na tax?
0 Reactions
0 Replies
714 Views
  • Poll Poll
Ewura yabariki mafuta yaliyozuiwa Rwanda, sasa kuuzwa nchini Mwananchi Jumapli, 19 August 2012 00:17 "SHEHENA ya mafuta iliyopelekwa nchini Rwanda, Burundi na Jamhuri ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau salaam! Nimepata fursa kwa mdau aliyepo nje ya nchi anataka kununua Almasi kwa hapa Mwanza na mimi sina connection yoyote! Please kama kuna dealer au anayeweza kunilink musaada! PLEASE HII...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kampuni mpya ya simu kutoka Vietnam Viettel kama kuna mtu anajua wanaendeleaje atujulishe, huduma zinategemewa kuanza lini? Wale mlioapply kazi zao mmeshaanza kupiga mzigo?
0 Reactions
0 Replies
764 Views
nauza ng'ombe watatu was maziwa kila mmoja 2200000/= wanapatikana Moshi
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nawaza kuwa biashara kama hii inaweza kulipa. Ukiangalia kuna vitabu vimeuza sana duniani. Kuna vitabu kama think and grow rich cha Napoleon hill kimeuza nakala 70m, the hobbit 100m...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naomba anayeweza kujua gharama za kuchimba kisima kwa sasa anipatie info kamili...maeneo nayoka kuchimba kisima ni masaki-kisarawe mkoa wa pwani Natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Habarini za asubuhi,napenda kuwaarifu kuwa nauza mayai ya kware kwa bei ya 15k kwa tray LA mayai 30,km utahitaji niPM au nicheki kwa namba 0657666740.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ingawa si maarufu sana hapa nchini kwetu, rakini kwa mataifa ya ghuba hata asia, ni pesa yenye nguvu , kulinganisha hata euro, pound, dutch mark , hata dollar, hii ni pesa ya nchini kuwait...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Back
Top Bottom