Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hello friend, Thanks for keeping in touch with me in my e-news letter. This is a great honour for me. Asante sana! Today is another great day for me as I was touched by an example that gave me a...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Kwa anaejua kampuni au yard yoyote inayouza malori ambayo ni used km scania,volvo,benz,howo,fao na brand zingine anijulishe tafadhali au anipe link ya website yao.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wote mnaolima mboga mnaotaka msaada namna ya kusafirisha ulaya muwasiliane na huyu kijana Machel Tarimo, Mkurugenzi na mmoja kati ya watatu waanzilishi wa HomeVeg Tanzania Ltd...
5 Reactions
69 Replies
10K Views
BIO PLUS ORGANIC SEA WEED FERTILIZER Hii ni mbolea imetokanna na mimea au maotea ya majini. Hii ni mbolea ambayo ni ya asili kabisa kwani imetengenezwa kwa kuvundika mimea hii ya baharini na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
BANK CHARGER ZA NEPTUNUS ZENYE UBORA WA KIPEKEE SIFA ZAKE ~ Kwanza inakaa na charge kwa muda mrefu kwani android phone moja inaweza kujaa kwa kutumia asilimia 5-8 ~Pili inaonesha kiasi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Airtel UNI Wi-Fi Marketing Manager, Aneth Muga. Airtel Tanzania has launched efficient and cost effective UNI Wi-Fi service that will enable students in institutions of higher learning access high...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau kuna ndugu yangu anataka kwenda uturuki kununua home decoration kama funitures,wallpapers sasa anahitaji kujua bei na kupata contact za mfanya biashara wa hizo bidhaa tajwa hapo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya...
21 Reactions
62 Replies
81K Views
1. Importer.Tradekey.com Hapa unauza au kununua vitu tofauti pamoja na matunda na juice kwa jumla. 2. Alibaba.com Hapa unaweza kuongea moja kwa moja na wenye viwanda vinavyozalisha vitu tofauti...
9 Reactions
7 Replies
4K Views
Hawa ni Matajiri kumi Tanzania, kutokana na survey ya Bongoland wanane ni watanzania wenye imani ya kislam wenye asili ya kiasia, wawili tu ndio wakristo na hao ndio wenye asili ya...
0 Reactions
67 Replies
94K Views
Hii inawahusu hasa wauzaji na wasambazaji wa pikipiki, na TRA SWALi.......kwenu napenda kujua bei halali ukitaka kununua pikipiki hizi za 150cc mfano-: Toyo,Kinglion na zinginezo ...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama unataka kukuza biashara yako na ifikie viwango vya juu sana basi usitegemee sana maoni ya wateja, hasa kuhusu ni nini wanataka. Ukiondoa biashara za uchuuzi ambazo mtu anakwenda dukani...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Swali 1: Hivi Outsourcing Company, hupewa leseni kwa sheria ipi ya nchi? Swali 2: Kwa nini kampuni hizi mfano ISON BPO hulipa mishahara kinyume na maagizo na maelekezo ya serikali? Mfano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu ndg yenu nahtaji kufanya biashara ya kuuza jezi za football za mtumba kutoka ima iwe ulaya au asia,je nianzie wapi? Yan sijui ni wapi nitanunua kwa jumla na kwa shngapi na je hii biashara...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wengi wamekuwa wakitoa hadithi kuwa Tanzania na China miaka ya 60 zilikuwa sawa kiuchumi. Kwangu mimi sikubaliani na hilo hata kidogo kwani masikini mwenye kopo akiomba na masikini mwenye mipango...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kampuni ya Coral Paints katika jitihada za kuongeza ujuzi kwa wapiga rangi nchini Tanzania Ili kuwa mpiga rangi mzuri na mpambaji , lazima mtu awe mbunifu na mwenye ujuzi unaostahili vilevile awe...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Whether you’re an adventurous person, a DIY expert or simply a persnickety home buyer, the thought of building your own home might be a thrilling prospect. After all, when you choose to build your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Moja ya faida za kuingia kwenye biashara katika kipindi hiki ni kwmaba huna haja ya kuumiza sana kichwa ni biashara gani ufanye. Japo wengi bado wanaumia vichwa. Zama hizi kila aina ya...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
From Rwf30,000, Muneza has built a multi-million business empire By: Dennis Agaba Muneza in his...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Swali la kizushi. Miaka 5 iliyopita kulikuwa na leak kuwa Mwambita Makamba analipwa $20,000 kwa mwezi alipokuwa anafanya kazi Vodacom TZ Sasa najiuliza hivi hawa ma top CEO wa mabenki kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom