Wiki iliyopita wafanyakazi wa benki ya NBC walikuja ofisini kwetu na kutueleza juu ya aina ya mkopo wanaotoa unaoitwa PERSONAL GROUP LOAN, wakaeleza mengi lakini nikashawishika na moja kwamba riba...
Wateja wa baa za Tabata ni kama flying gees! Ukiona leo wamejaa kwenye baa flani, kesho ikafunguliwa baa mpya kali, wanahama woote na kujaa huko... Ikifunguliwa tena nyingine wanahama huko na...
Hii ilijulikana kama kampuni maarufu ya kuuza vifaa vya maofisini. Sasa imebadilisha jina na kujiita Copy Cat! Je kuna nini kimetokea na kusababisha mabadiliko hayo? Mwenye taarifa atujuze!
Moja ya makosa ambayo wafanyabiashara wengi huwa wanayafanya na yanawagharimu ni kufikiri kwamba watu wengine hawaoni kile ambacho wanakifanya. Wanafikiri kwamba wamejifungia wkenye ulimwengu...
Amani kwenu wote!
Nafikiria kujiunga na SACCOS mojawapo ila kabla sijafanya hivyo, ningependa kupata elimu kidogo kuhusu SACCOS. Pia napenda kufahamu ni vigezo gani vya kuzingatia katika kuchagua...
Watanzania wengi kwa sasa wametambua na kuona fursa nyingi ikiwemo fursa ya mikopo kama sehemu kubwa ya wao nao kujikwamua kiuchumi ni jambo jema sana kuwa na macho ya fursa kwa ulimwengu huu wa...
Wakuu naomba ufafanuzi kuhusu haya magari tunayoagiza kutoka Japan! Unakuta gari ya mwaka 2006 imetembea kilomita 134,000 Je, hii ni sawa? Nimeangalia Noah nikakutana na mambo nisiyoyaelewa, kwa...
Wakuu poleni na kazi,
Nahitaji kusafirisha ng'ombe kutoka mbeya kuja Dar. Naomba kujua ninaweza kupata wapi usafiri ambao ni economical kusafirisha ng'ombe kama 10 hadi 15?
Wana Jamvi,
Habari za Jumatatu? Natanguliza samahani kwa kuandika title kwa lugha ya kigeni.
Naomba kwa mtu anayejua/mwenye uzoefu simple economics of teak cultivation and production (preferable...
Hbr wadau? Nina wazo la kufungua chuo cha computer boma ng'ombe, Moshi kwajil ya kozi za computer Applications, website design, introduction to computer, Pc maintenance, Cctv cameras, Alarms...
Habari zenu wapendwa
Tuna-supply na ku-install new version ya cctv IP camera
Details ziko kwenye kipeperushi nilichoki-attach
Contacts: 0787 241514
0713 266007
Natafuta mtu nifanye nae biashara mkoa wa Arusha... Awe business partner, we invest in together, my vision was building a proper ranch, and sell zero grazed meat.
Kama interested funguka.
Na...
umeona ulivyo nyambaf mamayo zako kumbe unajua ka wachumi wapo wengi kwa nini thread yako imeanza na taito ya mwigulu,ultaka mwigulu aishkilie na mikono yake shs isishuke,acha usengele nyuma we...
Ni taratibu gani natakiwa kuzifata pindi nikitaka kua importer wa finished goods.Nna plan ya kuimport some finished goods from Kenya na nlikua naomba msaada wenu kujua ni taratibu gan natakiwa...
Wadau nataka kununua mashine ya MaxMalipo. Naomba yeyote mwenye information ya sehemu zinapopatikana na jinsi ya kuiunganisha na mtandao, tafadhali ani PM.
Natanguliza shukrani zangu.
Kuna baadhi ya biashara huwa zinakwenda na misimu fulani. Kuna kipindi watu wanakuwa wanazungumzia sana biashara ya aina fulani, inapata umaarufu sana na kila mtu anakimbilia kuifanya.
Hizi ni...
Kuanzia mwezi June 2015 Boaz Donard Mwakasaka atatoa mafunzo kuhusu misingi ya mafanikio katika nyanja mbalimbali kama kilimo, biashara, elimu, ujasiliamali nk. Semina hizi zitaendeshwa chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.