Wapenz wanajamvi, mimi ni mtoto wa mkulima ningependa kujua na kufahamishwa bei za mazao ya chakula zilizopendekezwa na serikali hasa kwa manunuzi ya magunia kwa mazao haya mpunga. Mahindi...
Natarajia kuiuza gari yangu aina ya gaia yenye usaji wa cne...
Sababu za kuiuza nimeagiza gari nyingine aina ya noah na inaingia tarehe 29 april 2015 hivyo nitaiuza niliyokuwa natumia mwazo...
Habari za muda huu wakubwa zangu. Mimi nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya hostel kwa ali ya wanafunzi wa chuo..na ninayo target yangu tayari..yani watu wangu wa karibu hua wananiita day...
Karibuni wote ambao mngependa kujifunza kuhusu biashara ya mtandao 'Network Marketing' inayoweza kukupa pato katika muda wako wa ziada au 'full time' hadi kufikia au zaidi ya Shilingi Millioni 4...
Today we are all witnesses of real estate boom in Tanzania the demand for housing is on top priority , I believe our eyes has not yet witness the future of real estate and construction industry...
Nataka kutuma pesa kwenda india, kwa kupitia money transfer ya CRDB BANK ninaimport kifaa. Sasa tatizo linakuja invoice kampuni walinitumia ina details za payment hii ikiwemo correspondent bank...
Je, unataka kununua nyumba za kisasa kwa bei nafuu? Unatatafuta mkopo wa nyumba? Tembelea maonyesho ya Darproperty expo Jumamosi hii tarehe 2-5 Mei, yanayofanyika katika ukumbi wa Diamond...
Nataka kuanzisha internet tv station ili niwe natengeneza vipindi mbalimbali na kuvi rusha kwa njia ya mtandao tu je wapi naweza kwenda sajiri ili niweze kulinda haki zangu
Wakuu habari,
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta mkopo wa haraka wa Tsh milioni 20. Nahitaji kuupata ndani ya siku 3. Nitaulipa kwa ndani ya mwezi kwa riba ya asilimia 15. Nipo Dodoma na...
Mimi ni mfanya biashara za spea za magari used dareslam, spea huwa nachukulia Dubai nå Japani, nataka kuomba Mungu kupeleka spea zangu Msubiji kwani huko nasikia kuna biashara uzuri tu, lakini...
Biashara inafanana sana na siasa. Kwa sababu kitu kikubwa unachohitaji kwenye siasa na kwenye biashara ni ushawishi. Uweze kuwashawishi watu wanunue kwako na sio kwa mtu mwingine ambaye anauza...
Kutokana kichwa cha habari hapo juu, kupitia ukurasa huu wa mjasiriamali, mwenye connection wa kupata mkopo mkubwa wa kufungua kiwanda kidogo(small scale) na mkopo mwingine wa kumalizia single...
Habari wakuu naomba msaada wenu, kila mtu naomba anitajie aina ya kinywaji na marigafi inayotumika kutengenezea hicho kinywaji, kwenye mkoa husika au kwenye kabila husika. Mfano kinywaji cha...
Kama unatamani kujenga nyumba ya ndoto yako lakini kipato hakitoshi, sasa unaweza kupata mkopo wa ujenzi wa nyumba yako, lakini fata hatua hizi;
1. Tambua kupata mkopo wa ujenzi sio...
Hello friend,
Thanks for keeping in touch with me in my e-news letter. This is a great honour for me. Asante sana!
Today is another great day for me as I was touched by an example that gave me a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.