Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Customers have been described by different experts as the reason for any business to flourish or become extinct; after all there is no reason for a business to continue to exist if there are...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Dedicating yourself to leadership qualities that focus on communication skills and customer service is the most powerful way to bring you more luck than you can imagine. The commitment to...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Mimi kinachoniuma promotion kibaoooooo huduma mbovuuuuu na hamshtuki wala kutoa maelezo kwa nini huduma iko hivo....kama huawei wameshindwa kazi jamani kuna haja ya kuendelea kuwang'ang'ania ? kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wafanyakazi, na watu binafsi waliopo wilaya ya kilindi watakubaliana na mimi kuwa uwepo wa benki moja tu (nmb) unazua mafanikio mengi mfano suala la mikopo... nmb wameweka masharti kibao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Karibu tuendelee kupeana dondoo muhimu sana za wewe kufanikiwa kupitia biashara unayofanya. Katika dondoo hizi tunaangalia makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi na yanayowazuia kupata...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni Mark II muundo wa kizamani pia linatembea.
1 Reactions
69 Replies
15K Views
Dear colleague, We now have SILVER and GOLD generation; the old rule is changing and giving space to the new rule and principle. The big pool of SILVER and GOLD generation creates their...
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Tunauza majogoo ya kuku aina ya chotara. Majogoo wana umri wa miezi sita na wastani wa kilo 2 hadi 3.5. Yanafaa kwa kitoweo au kwa mbegu (kupandishia majike) kutokana na mahitaji ya mnunuzi. Bei...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman wakubwa MTU akitaka kuwa wakala Wa fahari malipo vigezo na masharti vikoje? Pili camission ni asilimia ngapi kwa kila transaction? Asante nitashukuru kwa ufafanuzi hususan kwa mawakala au...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dear colleague, We now have SILVER and GOLD generation; the old rule is changing and giving space to the new rule and principle. The big pool of SILVER and GOLD generation creates their new...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Heshima kwenu wakuu. Hivi ikiwa mteja anadaiwa bank "A" wanaouwezo wa kukuzuia kukopa bank. "B" ikiwa labda kule A ulitela ukorofi wa kuacha kulipa na labda wakauza dhamana etc? na Je Bank...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Rejea kwenye kichwa habari, ningependa kupata ushauri kwenye masuala ya kutengeneza corrugated boxes.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kumekuwa na dhana tofauti tofauti juu ya tatizo hili la kuongezeka kwa bili ya umeme.Japo ongezeko la ziada la bili kubwa ya umeme lina sababu za kitaalamu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Moja ya changamoto ambazo zinawazuia watu wengi kuingia kwenye biashara au kukuza biashara zao ni kufikiria ni biashara gani sahihi kwao kufanya. Watu wengi hupoteza muda mwingi wakitafuta wazo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Competent clearance agent anatafutwa wa kutoa gari bandarin wasiliana nami kwa wamisuba@yahoo.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, Swali langu ni; kwa Tanzania, kiwango cha kodi ni asilimia ngapi? Mfano, kampuni au mtu akinunua kitu kutoka kwa mtu mfano nyumba au programu kwa kwa kiwango labda cha shilingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunaona kimya kabisa hadi leo hivi hamjui kuwa tunaumia sisi wa hali ya chini.? Nini kinaendelea huko serikalini au ninyi viongozi mnanunua wapi mahitaji yenu? Maduka yamefungwa mfululizo...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Wana JF naomba ushauri. Ipo nyumba ambayo imeezekwa bati za kawaida (siku hizi wanasema bati za sufuria). Ni za geji 30 za Alminium Africa. Bati ziliezekwa 2004. zimeanza kushika kutu. Nyumba...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Nina hela Koin ya Euro 50 ya mwaka 2002 je, bado inafanya kazi? kwa mfano nikitaka kuibadili kua hela ya apa tz itakubalika? msaada pliiiz!
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom