Wadau salama, Nilikua natafuta wauzaji wa hizi material ambazo ni activated clay na diatomite zinatumika sana katika viwanda vya mafuta ya kupikia ku refine oil.
Habar wana JF,ningependea kupata msaada kwa mtu yeyote mwenye taarifa ya Mahali ambapo naweza pata MKopo wa sh. milion Sita,Ni saccoss gan au benk gani inaweza nipatia mkopo kwa mda mfupi...
Habari wakuu..
Nimetembea tembelea nchi jirani na nikagundua nyumba nyingi zina exterior finishing ya facing bricks, simply beacause they are beautiful and require low maintenance.
So, I...
Wadau naomba kujua kama kuna mtu yeyote ana uelewa juu ya hii biashara ya buying and selling securitues on line. Hapa kwetu bongo ipo tayari? Kama ipo inafanyika vipi!? Kuna website zina interact...
Habari Wakuu?
Nilikuja hapa jukwaani 29.04.2014 na kuomba msaada wa wazo la biashara.
Nashukuru wote mlio changia, kwani May Katikati nilianza kununua pens na daftari & stationaries zingine na...
Wadau,
Kwa malengo ya kujifunza na kubadilishana uzoefu/ujuzi,
Naomba kuuliza yafutayo kwa yeyote mwenye uzoefu an ujuzi huo. Kuna matofali ya block aka hydrofom blocks/ bricks au interlocking...
36 days remains to The second Darproperty expo. The biggest event in real estate. Make sure you don't miss out. Visit our expo website;The DarProperty Expo 2014 and add the event on your google...
Mpendwa mwana JF,
Ninaomba msaada toka mtu yeyote au taasisi yoyote wa kununuliwa gari (tipa) lenye uwezo wa kuanzia tani saba na kuendelea liwe linaweza kubinua. Nimekusanya vijana Wilayani...
20 days left to book your space to The second Darproperty Expo. Get the opportunity to meet potential buyers and build worthy network with top brands local and international in real estate in...
Natumaini ni wazima wana Jamvi? Hivi karibuni nilikua na ongea na jamaa yangu, ambaye kwa sasa ame amua kujiajiri, na hii kutokana na jamaa mwenyewe anasema Alikuwa na Wazo hilo tangu mwaka 2008...
Salaam waungwana, aisee nataka kufungua bekari spesheli ya kuoka na kutengeneza keki na biskuti za huu mmea wa kijani unaopendwa sana kule Jamaica na ambao umeruhusiwa kule kwa Obama katika...
Mabadiliko ya teknolojia yanayoendelea kwa kasi duniani kila siku yanakuja na gharama yake. ili kwenda nayo sambamba inatupasa kubadili mfumo wetu wa maisha ya kila siku ikiwemo namna tunavyofanya...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Said ameishauri Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kuzibana benki na taasisi za fedha nchini kupunguza riba ili wananchi wengi wamudu kukopa na kuanzisha...
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in...
Shamba linauzwa Kiguza,Oyoyo,Mkuranga.Sqm 75000,lipo kando ya barabara ya Mkuranga- kisarawe road mbele ya shamba la Salma Kikwete.Pia linafaa kwa kiwanda au ufugaji wa kuku,real estate n.k.Umeme...
Dear colleague,
I wanted to let you know that tickets for our world sales conference taking place June 2nd 2015 are selling faster than usual this year.
Almost 50% of the spots are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.