Wana JF
Kwa yeyote anayemiliki au kuendesha biashara ya mbao hasa mbao laini na anatarajia kuiuza naomba awasiliane na mimi. Biashara hiyo iwe maeneo ya jiji la Dar es alaam. Kwa mawasiliano...
MISINGI YA UFUGAJI WA KUKU KIBIASHARA
Misingimuhimu ya ufugaji wa kuku kibiashara yanayokuwezesha kupata mazao mengi na bora zaidiyatakayomnufaisha kimapato na kwa matumizi mengine.
Misingi hii...
jamani hizi benki zetu sasa kila kitu tunakatwa!!
apa natolea mfano benki yangu ya CRDB
kila kitu sasa ni kulipia sijaona cha bure kwa kweli
ata salio kuuliza pale kaunta ni kulipia mwee...
Kwa hapa Moshi kuna Ndizi nyingi sana. Kumetokea mafuriko ya ndizi kiasi kwamba Mkungu unauzwa mpaka Shilingi 500. Ndizi zinaivia na kuozea shambani hamna walaji na soko la ndizi limeshuka sana...
Habari za asubuhi ndugu wadau, kwa mara nyingine tena naomba mnifungue akili kuhusu huu mfuko wa uwekezaji UTT. Ukinunua vipande 61, 600, je vitauzwa ndani ya siku ngapi? Naomba wadau wenye...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imepunguza bei ya mafuta kwa mara nyingine katika kipindi cha miezi mitatu huku punguzo la sasa likitajwa kuwa ni la chini...
Hello wana jamii forums
Mimi nimejaribu kuangalia jinsi biashara zinavyoenda hususani Moshi,nimeona kuna utendaji wa biashara wa aina mbili kutembeza na nyingine kukaa kusubiria wateja,mfano...
Habari wakuu.
Naomba msaada wenu kwa yeyote mwenye uzoefu au anayejua namna ya kuanzisha magazine, tafadhal naomba, unaweza ukani PM au kuandika tu kwenye comment.
Asante
Jamani wakuu.. nimewakimbilia ili nipate msaada wa mawazo juu yenu juu ya kuanza biashara.. nina mtaji wa Mil. moja
(1,000,000). na nina penda kufanya biashara ili nijiongezee kipato na hi ni...
Habari wanajamii wenzangu. Mimi nataka kuanzisha biashara ya nguo za watoto na kike.
Nia yangu nizinunue marekani. Nafahamu kule ni bei juu kidogo na process ni ghali kidogo.
Mimi naomba...
GOOD MONEY WITH LADY'S FINGER/OKRA OR BAMIA(ABELMOSCHUS ESCULENTUS)
Bamia is one of the popular vegetable in Tanzania. It is cultivated extensively all the year round for its immature fruits...
Habari wana JF,
Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs.
Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT.
Nimefungua ofisi Sinza...
Kwa mahitaji yako ya vifaa via Garage pls usiogope kuwasiliana nasi, supply only Genuine Japanese brand. 4wheel alignment system, 2 post 4tons/5tons lift, scissors lift on/in ground,4post 4tons...
Waungwana naomba mwenye kukopesha kwa riba nafuu anikope mil. 1 niwekeze kwenye biashara ya duka la chakula. Nina uwezo wa kurejesha laki 4 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wangu, pia napata vi...
Hongera EWURA kwa hili. Bado umeme sasa umeme tunanunua unit 370 kwa walaji tunaotumia zaidi ya UNIT 50!!Liangalieni na hili. MIHANI GAS sasa ndo kiboko ya ORXY,ushindani mzuri sana umesababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.