Salam wakuu,
Mimi ni mjasiliamali, hivi karibuuni nikiwa katika harakati zangu za kujigomboa na umaskini, nimekutana na fursa nzuri, ambayo itawahusisha bank na hao wateja!! Sasa nnachoomba wakuu...
Nov 1 Airtel money imezindua huduma ya kutuma,kupokea na kutoa hela nchi za Tanzania, Kenya,Uganda na Rwanda. Waliotumia huduma hii tunaomba mtujuze faida na hasara ya huduma hii muhimu hasa kwa...
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma zetu za solar tunazitoa Tanzania nzima ikiwemo Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar, Sepon Limited Tunatoa Huduma bora zenye uhakika wa upatikanaji wa...
Customers in Tanzanias Tigo Pesa are set to be the first in Africa to enjoy universal mobile services.
Tigo, a subsidiary of Millicom an international telecommunications and media company...
Salam ndugu wana jamvi.
Nimeona mara nyingi articles zikielezea manufaa ya ndege jamii ya kware. watu wengi wamejaribu kutoa faida zake kem kem zinazohamasisha kufuga ndege huyu.
Lakini...
Wandugu kwanini hawa jamaa hawawekezi kwenye kuzalisha umeme, nchi yetu inamabwawa 6 tu ambayo hayafiki 600MW za uzalishaji.
Inasemekana Tanzania inaweza hadi kuzalisha megawatt 10,000 kutokana...
Habari zenu wadau.
Msaada na mawazo, kwa wakazi wa DSM mtakuwa sio wageni na haya maji. Anayejua chochote au mwenye data yoyote kuhusu kilichowatoa sokoni hawa jamaa Penguin na Pangani pure...
Habari za mishughuliko wana JF, hivi unajua wapi wananunua kahawa? Na mbinu gani huwa wanatumia kupanga viwango vyake. Kuna sehemu niliambiwa iko kwa wingi ila kwavile sikuwa na idea yoyote kuhusu...
Free Service for one year after installation and one year warranty, Sepon ltd supply and install solar equipment together with Backup system for electricity. We provide quality service to our...
Habari wana JF,
Nahitaji kununua Suzuki Carry truck na nimekuwa na negotiations katika Japan Trade Car View. Nimekuja hapa kupata mwongozo kwani magari mengi (4WD, cc zaidi ya 500) niliyojaribu...
Kwema???
Sina uhakika kama hii thread ni mahala pake ila nategemea wenye ujuzi na mambo haya watapatikana huku.
Kuapply for copyrights au patents hapa nchini kwetu, je, ni Institution gani...
Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently.
Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm.
Asanteni.
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania nlikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kusajili project yangu endelevu kwa ajili ya vijana kujikwamua kiuchumi kutokana na mazingira...
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant
ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15
vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani
supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani
mazuri kwa hapa...
Habari zenu wadau.
Msaada na mawazo, kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k.
Kwa ajili...
Wana jf naamini akuna linaloshindikana humu ndani, nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri nahiatji kujua machache toka kwenu wapendwa, tofauti na computer na access ya mtandao ni jitiada gan...
Vitu tunavyomiliki au umasikini tulionao leo ni matokeo ya jinsi tulivyo fikiri na kutenda jana. Leo ni siku ya kupata matokeo halisi ya jinsi gani kila mmoja wetu kwa wakati wake alivyoweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.