Mimi ni mtumishi serikalini nimeomba mkopo katika tawi moja la boa hapa Tanzania Kanda ya Ziwa sasa nimetimiza mwezi mmoja kila nikienda loan officer dada mmoja ananijibu approve ya mkopo wako...
Habari zenu!
A/C yangu ya CRDB imefungwa kwani nina muda mrefu kama mwaka sijaitumia kwa sababu hali ya uchumi kuyumba. Sasa, leo naenda kucheki naambiwa tu haraka haraka lete 25,000/= kwa ajili...
Habari wakuu! Nina wazo siku moja kwenda China au Thailand, ila nilitaka kujua hivi ukichukua mchele contena la futi 20 laweza kukugharimu bei gani hadi linafika bongo maana nimesikia kuwa wao...
Habari za humu ndani ngugu zangu!
Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55...
Duka la vifaa mbalimbali na vyakula vinywaji na bidhaa za ndani linauzwa hapa Tabata Sigara, lipo eneo zuri na ni kubwa kwa thaman ya shiling millioni 8 ila maelewano yapo. Kwa kujiakikishia njoo...
Habari zenu wana jf, naomba kwa wenye idea au uzoefu ama wanafahamu bayana wanifahamishe kuhusu hii mifuko ya pensheni.
Je, ni upi wenye manufaa zaidi na usumbufu haba kwa mwajiriwa inapofika...
Hey guys,
Below is a list of online software product ideas, feel free to do what ever you want with them.You don't have to create the next Facebook or anything to be successful kwenye mambo ya...
Mambo ya pesa MBONGO Kwa kilingala
Leo nilisikiliza asubuhi kipindi cha Pachanga time TBC FM. Kulikuwa na uchambuzi wa Wimbo wa TP OK Jazz unaoitwa Mbongo uliotungwa na mwanamuziki mahiri...
Jamani mwezenu na hitaji kupata mkopo kwa ajili ya kufanyia biashara, taasisi zote za mikopo ninazo zifahamu zina mashariti ambayo yananibana nishindwe kukopesheka. Tusaidianeni wadau, ukiona kuna...
Kwa wale wajasiriamali tatizo kubwa ni kupata soko, pata suluhisho sasa: get an effective marketing tool itakayo kusaidia kutangaza biashara/huduma yako kwa kutuma bulk sms kwa watu wengi kwa...
Mambo mengine wananchi hatupendi kuyafanya lakini namna ya utoaji huduma kwa wateja wenu inatulazimu kuyafanya,tumereport ubovu wa metre ya Luku imechukua 3 good month kuja kubadilishiwa na...
'' Ndugu Mteja, tunakutaarifu kwamba HATUTAKUWA NA MAREKEBISHO YA KIUFUNDI, taarifa zilizoenea si za kweli. Huduma zetu zote zitaendelea kupatikana kama kawaida'' - Tigo
====
Huduma zenu jamani...
Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni.
Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu...
Habari zenu waungwana jukwani:
Tangaza Marketing Solutions ni kampuni inajishulisha na advertising,marketing na promotions pia tunasaidia Wajasiliamari na Wafanyabiashara kusajili biashara kuanzia...
habari zenu wakuu, nimeajiriwa katika secta binafsi na ninamwaka mmoja sasa katika ajira hii, nimekuwa nikifuatilia habari za upatikanaji wa mikopo( hasa humu JF) na kwa taarifa ninazoziona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.