Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai lakini tatizo ninalokumbana nalo ni kwamba kipato ninachopata hakilingani na gharama ninayotumia utagaji ni asilimia 50 nimejitahidi kubadili uchanganyaji...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
naomba mnifahamishe wapi naweza pata mkopo wa milioni 5 kwa ajili ya ku expand biashara yangu dhamana kadi ya gari aina ya toyota gaia
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kujua jinsi bia inavyotengenezwa na kwa nini ladha zinakuwa tofauti, pili gas inayowekwa kwenye bia inapatikana wapi na kama kuna uwezekano wa kuanzisha kiwanda kidogo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima na tahadhima natanguliza kwenu wadau, JF, ni sehemu iliyo saidia sana kukuza akili ya kiuchumi. Sasa ninawaomba watanzania wenzangu, tujadili kwa kina suala la NAMNA YA KUJIAJIRI NA...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Wadau nina biashara yangu nataka ongeza mtaji sasa nataka kopa Bank kwa dhamana ya hati ya nyumba,hivi ni Bank gani wako na riba nafuu zaidi. Naomba kujuzwa mwenye ufahamu wa kutosha nipate pa...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Habari zenu wadau, ninataka kufungua biashara ya Masaji Dar. Nyumba (ofisi) ilishapatikana tayari. Kwa mwenye uzoefu na biashara hii vipi, inalipa? Funguka tafadhali
4 Reactions
39 Replies
18K Views
Most residential real estate firms in Tanzania residential sellers a concessional of 5% to 10% of the selling price. Agents seem to compete for business on every dimension except commission rates...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA YA MTANDAO SEHEM YA NNE Habari ndugu msomaji wa makala zangu matumaini yangu unaendelea vizuri hadi muda huu ambao umechukuwa kusoma tena makala haya ambayo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana, Ninapenda kutangaza ya kwamba, tunayo ardhi ya shamba yenye ukubwa wa eka 1,000 na tunatafua wafadhili wa kuanzisha kilimo. Eneo halijawahi kulimwa na wataamu wanasema eneo hilo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wana jamvi? mwana jamvi mwenzenu natamani kujua kuhusu biashara ya BIMA, kama Agent au Broker, lakini kwa kuanza kua kama Agent( Wakala) natamani kujua kama kuna mtaalamu wa mambo ya BIMA...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naombeni mnisaidie kujua kuhusu mkopo kwenye taasisi ya platinums. je wanakopesha hadi shilingi ngapi kwa mfano mtu mshahara wangu laki tano na nusu. na marejesho ni kwa mda gani? kwa anayefahamu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, jamani katika harakati za kutafuta gari nimeiona kampuni yenye jina hapo juu ambayo ipo Japan. Kwenye webpage yao nimeona wanauza gari ambayo kwa kweli nimeipenda kutokana n'a...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jf, natumai wote wazima. Nilikuwa mwenye kufahamu hawa agents wa IDEAL powertools walipo kwa dar au namba zao za simu anisaidie please.
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Kama wewe unapenda kutumia fursa ya mtandao wa internet basi changamkia fursa hii ni BURE KABISA alika tu wengine wajiunge utazidi kujiongezea HISA zako: NB: Hisa zinauzwa kwa kufuata muda hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii nataka fahamu benk gani inatoa riba nafuu ya mkopo kwa mtumishi wa serikali kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa naomba kujua rates za Duty taxes and other charges wanazotozwa makampuni binafsi yanayoingiza cement kutoka nje pale bandarini..Msaada wenu utasaidia sana.Nitangulize shukrani zangu...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
ukianza na pale mitepweshi,unaweza kwenda kuchimba madini au kununua na kuja kuuza tz,na ni aina zote za madini zinapatikana pale,ukienda mkoa wa NIASSA pale lichinga ukifungua hoteli unapiga...
4 Reactions
44 Replies
12K Views
Nina rafiki zangu wanalima chai wilaya ya Rungwe, walikuwa wanalalamika bei ya chai ipo chini ukilinganisha na Kenya. Wanasema kilo moja wanauza 228Tshs, hawakusema bei ya Kenya ikabidi nitafiti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau. Kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza maua kwa ajili ya sherehe, misiba nk naomba aniPM niweze kuwasiliana naye. Kuna biashara maeneo niliyopo nataka nimuunganishe...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom