Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hili ni swali kwa wafanyakazi, wataalamu na weledi wa shughuli za kibenki. Bazazi ni mwanachama (sio mwanahisa) ktk benki ya benki mojawapo hapo Tanzania kwa kitambo sasa. Mwezi uliopita...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
heshima kwenu wadau. nimeumia sana baada ya kusikia bajeti mpya ya serikali. nimejibana sana na kuagiza ki gari changu. kupunguza gharama nikatafuta isiyozidi miaka 10 na ya bei nayomudu...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi, ningependa kufahamu ni hisa za kampuni gani ambazo zipo sokoni kwa sasa na zinauzwa!? Binafsi ningependa kununua hisa katika moja ya makampuni hayo!
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kumekuwa na mijadala mingi humu kuhusu biashara ya network marketing huku wachache wakiikubali wengi wanaona ni kama utapeli wa mchana kweupe. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni kutokana na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari. Nataka kuagizia Noah Na Kuna ndugu yangu Yuko afrika kusini kanambia anaweza hadi kufika Dar itagharimu 7mil. Kuna mtu anaweza kunishauri kuhusu ushuru wa hapa bongo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikiwa kama wewe, jamaa yako, kampuni, n.k unazalisha unazalisha vifaranga bora wa kuku wa kienyeji Mbeya au mjini Sumbawanga. Nahitaji kufuga. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ni benki ipi inayotoza riba ndogo hapa tz? na mkopo ni wa miaka mingapi maximum
0 Reactions
17 Replies
14K Views
SIRI YA UTAJIRI NDANI YA KAMPUNI YA NEPTUNUS 1. Neptunus ni nini? Ni kampuni iliyo anzishwa mwaka 1989 baada ya viwanda vitatu vya umma kuungana. Viwanda hivi hujishugulisha na kutengeneza dawa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari, Jaman nimepata mawazo fulan hivi. Kwanza nianze kwa kutamka kuwa Mimi si mtaalamu wa maswala ya information technology, but ni mtumiaji mzuri Wa hizi huduma wanazotuletea, katika hii...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Great thinkerz, naomba mawazo yenu, ni bíashara gn hapa dar ya kuuza bidhaa au ya kutoa huduma ambayo haitaji mtaji mkubwa lakini mtu akiifanya kwa maarifa na ustadi mkubwa inaweza mlipa pesa...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Hello JF Members. I believe this is the right section for my post - to share my business idea with the JF society which is enriched in a mix of skills, talents and knowledge. Basically, I...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo 1: vyumba vitatu 2: bathroom and toilet 3...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari waheshimiwa, naomba kuuliza kwa mwenye kujua ni maeneo gani kariakoo nitapata soksi za jumla? na gharama yake ikoje? NOTE;Sio soksi za shule natanguliza shukrani kwa mtakaochangia
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Salama waungwana? Nimenunua share za CRDB miezi sita iliyopita. Naona kama zimepanda kwa Tshs 150 toka niliponunua. Je , biashara ya hisa hufanyikaje kwa faida zaidi? Je, niziuze na kununua...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Katika mtiririko wangu wa kudesign vifaa mbalimbali vya electronics,leo nawaletea kifaa ambacho ni mkombozi kwa wanao fuga kuku kwa kutumia taa za filament. Teknolojia hii ni maalumu kwa ajili...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Juzi nilienda NMB Bank ili kupata mkopo lakini nikashindwa kwa madai kuwa sina barua ya kuthibitishwa kazini (wakati huo nina salary slip 3, kitambulisho, barua ya utambulisho na vitu vingine)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nchi yetu inaelekea kuzuri sana. kutokana na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira, vijana na hata wazee wameamua kujiingiza katika shughuli za ujasiriamali. Hili ni jambo zuri kwa kuwa, sasa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Inawezekana kua na account mbili, bank ya CRDB. Zikimilikiwa na mtu mmoja?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Zimbabwe yakataa kuwa dampo la magari yenye mionzi hatari, Tanzania vipi? Tumejipangaje? Ni wiki iliyopita tu (watu) walikuja bandarini kwetu soma hapa: http://allafrica.com/stories/201203130249.html
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom