Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

WanaJF, mimi nataka nianze biashara ya duka la vipodozi, nilikuwa naomba kwa mwenye kujua vipodozi vilivyozuiliwa aniorodheshee hapa ili nisije nikaanza biashara yangu vibaya, naogopa kupata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wapendwa wa jf. kama kichwa cha habari kinavyosema,ninaomba kwa mtu yeyote anaejua bei ya mashine za kufungia bidhaa mbalimbali kama karanga na popcorn anisaidie kuniambia bei na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu wana Jf. Ki ufupi nina ndugu yangu ana haha kutafuta soko la madini ya feldspar. Kikubwa anahitaji ajue ni wapi anapoweza kuyauza na bei zake za kuuzia. Natumai mtakuja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
tafadhal wadau naomba kujua ni gharama kiasi gani kama ukitaka kufungua duka la kawaida la dawa baridi ahsante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunazidi kushuhudia kupomoka kwa bei ya mafuta, leo yamefika dolar 45.05 kwa pipa, mwenye kujua faida za bulk procurement atuelezee consumers wanawezaje kufaidika na hali hii...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hizi ndizo dili zinazo waweka mjini wadosi sasa nilikuwa naangalia uwezekano wa kuingia kwenye hii game. Je, mfano mtu ana $1 MILLION na anataka kurudisha around 4 or up to $5 MILLION hamuoni...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
Rich Dad, Poor Dad As narrated by Robert Kiyosaki I had two fathers, a rich one and a poor one. One was highly educated and intelligent; he had a Ph.D. and completed four years of undergraduate...
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Hii tabia ya kupoteza watu wenye msimamo katika jamii naona sasa inataka kua sugu,kina kubenea wamezimishwa,yule raisi wa madaktari nusu auawe kazimishwa,sasa naona wanamuwinda mwenyekiti wa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Jamani ninataka kwenda china katikati ya mwezi ujao huko Guangzhou shughuli zangu ni kwenda kutengeneza sampo za viatu vya michezo kama pea 50 hivi (nataka nije nazo kwa ndege) maswali yangu ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa wanaofahamu naomba wanisaidie kuwa kukopa NMB kwa sasa ni mara ngapi ya take home salary na riba kwa miezi 60 ni kiasi gani pia ni vitu gani vinahitajika. nipo mbali kidogo na matawi ya benki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama wewe unapenda kutumia fursa ya mtandao wa internet basi changamkia fursa hii ni BURE KABISA alika tu wengine wajiunge utazidi kujiongezea HISA zako: NB: Hisa zinauzwa kwa kufuata muda hivyo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Rich Dad, Poor Dad As narrated by Robert Kiyosaki I had two fathers, a rich one and a poor one. One was highly educated and intelligent; he had a Ph.D. and completed four years of undergraduate...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wakuu, sasa kumekuwqa na utitiri wa Benki na mashirika ya kifedha yanayotoa mikopo. Nataka kukopa Benki yenye liba nafuu inayotoa mikopo kwa watumishi ambao haina longolongo. Nahitaji kupata mtaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF natumaini wote humu nfdani ni wazima. Leo nimeona nijitokeze niwaombe msaada wa hali na mali. Mimi nina uhitaji wa kukopeshwa kiasi cha shilingi 1.1milioni kwa riba...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Ndugu wanajamvi katika kupambana na ujasiriamali nimeanzisha kampuni inayopromote various brands,event management. kikubwa nahitaji connection ili mwenye ideaz where jobs are aniupdate,ukileta...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu?? Naomba kujua vifaa vya vyote vinavyotakiwa kufungua saloon ya kiume, pia nikijua uendeshaji wake pamoja na kiasi kinacho patikana wastani kwa wiki ntashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuwa muuzaj wa bidhaa za azam kwa bei ya jumla. je nawezaje pata hizi bidhaa moja kwa moja toka kiwandan... niko mkoani
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wakuu... Ukiwa katikati ya jiji la Arusha utawakuta wamasai wengi wakiwa wanafanya biashara ya Tanzanite huku baadhi yao wakiwa na magari ya kifahari ikionesha dhahir kuwa biashara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mada inavyosema hapo juu, nna wazo hilo na kuonesha nimedhamiria tayari nimeandaa business plan yangu. But ili plan iwe real sina budi niwe na data ambazo ni real. Kwa mtu mzoefu na mambo ya...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
ipatie kuku wa kienyeji, ni wa tamu sana kwa aina zote za mapishi kama supu, kuchoma, kukaanga n.k. Wana uzito kati ya 2-3 kg. bei ni kati ya 20000-35000. Kulingana na uzito. Napatikana Kunduchi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom