Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wiki kadhaa zilizopita vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania, vilitawaliwa na habari ya mwanadada Jokate Mwegelo kuingia mkataba wenye thamani ya shilingi Bilioni Nane...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Wadau kwa yeyote anayejua kiwanda kinacho/weza kutengeneza hii kitu, Please msaada. Hizi ni preforms kwa ajili ya kuweka kwenye mould na kuzipuliza kupata chupa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
FANYA HAYA UTAFANIKIWA SANA KWENYE BIASHARA Watu wengi wanaanzisha biashara, watu wachacahe wanafanikiwa kwenye biashara, usishangae unaweza anzisha biashara na usifanikiwe ukaanza kumtafuta...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Waungwana habari za wakati huu; Kwanza nianze kutambua na kupongeza kwa dhati michango na mawazo mbalimbali ya wanajukwaa, ambayo Imekuwa msaada mkubwa na dira katika maisha yangu na wanajukwaa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kweli kilimo ni kamari lakini sikati tamaa bado tapambana mpaka kieleweke.
1 Reactions
51 Replies
6K Views
habari wakuu nina mpango wa kusajili kampuni ambayo itajishughulisha na biashara kama kuchukua tender na kuchukua bidhaa na kuuza kwa faida na isiwe specific kwenye bidhaa moja bali bidhaa mbali...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
msaada utaratbu wa kubadilisha na kusajili namba mpya za piki piki upo vip? kama piki piki haijalipiwa motor vehicle ukienda kubadilisha utaratbu upo vip?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wanaJF, bila shaka tuna maarifa mbalimbali ambayo naweza sema hutokana na elimu zetu tofauti. Kwa maana hiyo tunaweza kubadilishana uelewa. Tunajua fedha zinatengenezwa, na zingine...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Wadau naomba kufahamishwa au wahusika mnisaidie kunijulisha taratibu za mtu akitaka Kuvusha Border;gari la matangazo ambalo wamelibrand Stickers na Logo za Kampuni na Spares zake..je gharama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninataka kufungua Travel Agent kampani ambayo itakuwa inahusika na kufanyia watu booking za airticket, booking za hotel, kukodi magari pamoja na safari kuandaa trip mbali mbali kama kwenda Arusha...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Nawasalimu! mteja wangu anahitaji gari kati ya toyota liteace noah au nissan serena. wadau naombeni ushauri kati ya magari haya mawili lipi bora zaidi kwa matumizi ya familia sio biashara...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Kama unahitaji mkopo wa dharura tuwasiliane. Muda wa mkopo ni mwezi mmoja tu. Riba kwa mwezi ni kati ya 20%- 30% kiasi kamili cha riba kinajadilika kulingana na ubora wa dhamana. Dhamana ya mkopo...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Tunakopesha hadi shilingi millioni tano hii ni kwa wakazi war Dar Tuu, Bondi Nyumba au Kiwanja Kwa pesa chini ya Millioni moja unaweza chukua udhamini kwa mwajiri wako (Kama usipolipa Mwajiri...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
kuna online portal kwa ajili ya wajasiriamali wa africa mashariki ambapo unaweza kupata fursa mbalimbali za kibiashara na pia wanakupa chance ya kuweza kupost free kama unatafuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajukwaa... Kwanza kabisa ninapenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale kutokana na mihangaiko ya kuweza kujikwamua na huu umasikini Mi ni mjasiriali na nina ndoto nyingi sana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nilikua nauulizia soko la asali la nyuki wadogo wale wasio ng'ata. bei ya soko inakua ni sh ngapi kwa lita moja? Wasalam.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
HAWA JAMAA MAREKANI WANAWAOGOPA SANA kwasababu walishawaliza sana kwenye mitandao na kuwaibia mapesa sana kwenye mabank. sasa wamejaa mitaani sasaivi, uliza bodaboda yeyote akupeleke kwa mnigeria...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa nini kodi za nyumba dar es salaam ni kubwa kuliko nairobi, kampala, kigali etc? Living and doing business in Dar es Salaam, the country's commercial capital, is becoming ‘a nightmare'...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Nnagunia za ulezi mwekundu, anaehitaji ni pm Kama upo nje ya mbeya ntakusaidia ujipange kuusu usafiri
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Imesaidia kuonyesha upuuzi wa serikali kwa wananchi. Serikali inapoteza mapato makubwa. Wafanyabiashara / wananchi wamedhihirisha wana nguvu kuliko serikali waliokosea kuipa nchi. Machine za EFD...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom