Ndugu wadau kama ukiwa na Tshs 10 Million, unaweza kuitumia benki kupata mkopo? (Ikatumika kama collateral), Kama jibu litakua sio hapana, Je unaweza kupata mkopo hadi wa Tshs ngapi?...
Msaada...
Habar wadau nataka kununua heka tano tanga ili nipande miti ya mbao, msaada kwa mzoefu kuhusu mche bei gani, na baadae naweza kuuza bei gani na ni baada ya mda gani, na heka moja nitapanda miti mingp
Ninatafuta kampuni inayotafiti madini na uchimbaji pia. Eneo lina HATIMILIKI HALALI, lipo wilaya ya TARIME na pia liko umbali wa mita 300 na eneo wanapochimba wachimbaji wadogo wa dhahabu. KWA...
Leo nimepata bahati kumsikia gavana wa benki akiongelea swala la mapato ya taifa. Nilishangaa kumsikia akiizungumzia hio habari kwa umma wa watanzania huku akitumoa fedha ya kimarekani yani dola...
Nimekuwa nikipitia humu JamiiForums nakuta mara nyingi watu wanakuwa wanatafuta information. Muda mwingine wanakuwa hawazipati au muda mwingine wanazipata.
Nafikiria kubuild a portal ambayo...
Habari wadau?
ninahitaji msaada kwa mtu anayejuwa mahali au mtu wake wa karibu anayeweza kuniprintia sign board ya prastic. size ni 30cmx50cm kwa muonekano inazidi kidogo kwa A4 size.
nina shida...
MKOMBOZI WA WAKULIMA APATIKANA.
NI BIOPLUS ORGANIC SEAWOOD FERTILIZER.
Umefika wakati kwa wakulima wa kitanzania kuachana na utumiaji wa mbolea ambazo ardhi yetu kwa kuondoa rutuba mashambani...
Jamani kiukwelii bado sijapata hela...ila hawa jamaa wanasema mtu anaweza kutengeneza pesa kwa njia ya kuwakaribisha watu watembeleee mtandao wao( how to make money, through website...
Wana JF,
Poleni na majukumu mliyonayo.
Ni kwamba mimi ninaishi Dar es Salaam. Umbali kutoka yalipo makazi yangu hadi city centre ni wastani wa kilometer 18. Nimeajiriwa sehemu ambako kwa maisha...
Napenda kujua gharama za kprint vipeperushi hapa DSM ikoje! NAONA SIKU HIZI VIPEPERUSHI VINGI SNA BARABARANI TENA COLOURED ! Nataka nitengeneze matangazo kwa ajili ya uchaguzi kijijini ...Nataka...
Habarini Wadau,
Ninaomba kufahamishwa ni taasisi ipi au bank gani inayoweza kunikopesha mkopo wa kuanzia Tsh.mil 10 au zaidi endapo nina Assets zisizohamishika (nyumba na mashamba) tena mjini...
Wengi wa madalali wa nyumba za makazi nchini Tanzania hulipwa ada kuanzia 5% mpaka 10% kwa kila nyumba wanayouza au kupangisha.
Madalali nnchini wanashindana kwenye kila nyanja (kuuza kwa haraka...
Habari zenu wandugu.
Naomba kwa mwenye uelewa juu ya mikopo,maana kunasiku nimeenda NMB-Nbarali nikataka kujua utaratibu mzima wa mikopo na urejeshwaji wake kiukweli nilishangaa sana.
Pale...
Habari wa Jamii Forum.
Naomba mnisaidie hapa kutokana na uelewa wangu mdogo wa masuala ya uchumi, kila siku nasikia kupitia vyombo vya habari kuwa hali ya uchumi wa nchi yetu ni nzuri na uchumi...
Ninaomba nikuulize maswali ya kiuchokonozi... Eti hivi baada ya UWEZO kushinda zile 100m...
Je, washindi wengine walioshinda kiasi hicho hicho baada yake ni wote wamegoma kutangazwa kwenye vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.