Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28
Maths F
English F
Kiswahili C
History C
Geography D
Biology D
Civics D
Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
Nilituma maombi kwa njia ya online kwa kozi ya Clinical medicine naomba mnipe njia mbadala za kufany I'll nipate chuo cha serikali
Natanguliza shukrani kwenu
habarini humu ndani? ningependa kufahamu au kupewa maelezo kwa yeyote atayokuwa nayo, kuhusiana na akaunti za udom kutokufunguka na kuambiwa tumekosea passowrd ilihali password azjakosewa and pia...
Nimeomba chuo fulani lakini nilipoangalia tena taarifa zangu baada ya kufanya submission nikakuta kwamba nimekosea tarehe ya kuzaliwa(nimechanganya mwezi na tarehe). Lakini kwenye kipengere cha...
Mkurugenzi Wa TCU amedai kuwa asilimia 70 ya wahitim kidato cha sita kuna uwezekano mkubwa Wa kushindwa kupangiwa vyuo kutoka na taarifa zao kuwa kinyume na zile za maombi ya mkopo,haidha...
wakuu naombeni mnisaidie tofauti kati ya chuo cha wanyamaa pori mweka na chuo cha wanyam pori pasiansi na kwanin mweka ada yao ni kubwa sna? Msaada wenu wakuu
Mtu mwenye Masters ya Nursing for possible connection ya PhD. Nimeongea na Prof. already so that means mguu mmoja ndani tayari sababu PhD nyingi za USA connection ni muhimu na Prof akisema...
Naomba kuuliza kuhusu wanafunzi walio pangiwa kwenda vyuo kwa mwaka huu,nahisi wengi wao wamepangiwa kwenda kusoma course ambazo hawaja panga kusomea katika maisha yao wengine wanaweza wakawa na...
Habari wakuu niende kwenye mada moja kwa moja sijaona umuhimu wa mtu kumaliza kidato cha nne na kwenda kidato cha tano na sita kupoteza muda kwanini isiwe mtu akimaliza kidato cha nne asiende VETA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.