Wanafunzi wa UDSM tuna uhaba wa usafiri wa kutokea Main Campus (Chuo) kuelekea Mabibo Hostel, magari hayo maarufu kwa jina la SHATO.
Tunalazimika kukaa muda mrefu tukisubiri usafiri, inadaiwa...
Tunaomba waziri wa sayansi na elimu ya juu na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) mtusaidie tuweze kupata wahadhiri wa kutufundisha masomo ya tiba kwa njia ya vitendo ngazi ya shahada ya kwanza (...
Wanafunzi wa UDOM college ya Education, wakati chuo kinafungwa kwa wiki moja tu, wanafunzi wanaobaki wanaambiwa kulipia tshs 5,200 ya hosteli ilihali malipo ya hosteli yamefanyika kwa mwaka...
Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za...
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya...
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa...
SUALA LA VYETI.
Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA.
Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka...
Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake.
Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati.
Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za...
Serikali ina haja ya kutazama mpya juu ya suala la mtaala ulioboreshwa wa kidato cha kwanza 2025, kwa hakika mtaala huo haukidhi vigezo kwa mtoto wa kidato husika kwa sababu baadhi ya mada mfano...
Chuo Cha Duce ( Dar es salaam University College of Education)
Department ya fedha inawasumbua wanafunzi wanaodai refund.
Refund hyo ni pesa ambazo wanafunzi wanapaswa kurudishiwa baada ya wao...
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama...
Shule ya BEROYA MISSION SECONDARY SCHOOL iliyopo mkoa wa Pwani, Bagamoyo kijiji cha matimbwa ilianza kuchapa wanafunzi mwishoni mwa mwaka 2023 kwa kutumia mabomba ya maji.
Watoto wanakuwa na hofu...
Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili.
Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa...
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda...
Wizara ya Mikopo itazame Chuo vha Mipango kuna shida gani?
Kila mara Wanachuo wanacheleweshewa Fedha za Kujikimu (boom). Pesa ziliwekwa kwenye mfumo tangu Oktoba 19, 2024 kisha Oktoba 30...
Kero.
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo.
Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini...
Kero yangu:
Shule ya Sekondari Irugwa inawataka wanafunzi wanaoripoti kidato cha kwanza kwenda na Rimu 1, pia mwanafunzi anapofika kidato cha 3 anapeleka tena Rimu.
Bado kuna michango kama vile...
Jamani,
Hivi suala la kujengea Wanafunzi vyoo ni la wakina nani? Maana kuna shule moja Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera inaitwa "Mugana A" kwakweli hali sio nzuri.
Vijana hawana vyoo salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.