Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Tbl
Habari za usiku wapendwa, mm ni mwanafunzi na niko field hapa mbeya. Nimepata ugumu katika uandishi wa riport yangu hasa katika kupata organisation structure ya hii kampuni. nimejaribu kuitafuta...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
NAANZA KUSOMA MWAKA HUU OUT KATIKA BACHELOR OF ART IN EDUCATION (BAED) NAHIAJIKUJUA ILI NIJIPANGE KUKABILIANA NAZO KWA KUANZA NA MSINGI MZURI. Ahsante.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza eti mtu wa degree ya nursing analipwa Tsh ngapi kwa mwezi.?:A S-rap:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nazihitaji sasa hivi, ahsanteni
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Naombeni mwenyewe uelewa juu ya BSc with biology.. Kuanzia sehemu ya kufanyia field pamoja na soko lake.. Ni wapi naweza nikaajiriwa.. Nashukuru kwa msaada wako
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Njoo Ngara- Kagera idara ya sekondari. Mimi nije Wilaya yoyote Kilmanjaro au Arusha. 0758165769
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Mtu anayesoma pharmacy anapata ajira direct serikalini bila kuomba?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ndio ule wakati ambapo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanamaliza masomo yao. Ni wakati wa furaha sana kwenye maisha yao kwa sababu kitu walichokuwa wanakifanyia kazi kwa miaka mitatu...
9 Reactions
42 Replies
9K Views
Habari zenu! Jamani naombeni msaada kuna mdogo wangu yupo kidato cha tano alipangiwa kusoma Temeke high school lakini alituma maombi ya uhamisho TAMISEMI kutokana na sababu fulani. Maombi yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kufika lyamungo school nikitokea arusha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sorry dublicated thread. See above
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Wakuu mpaka sasa hv naandika hapa sijajua hao wanafunzi 18000 walioachwa serikali ina mpango gani nao Nakumbuka matokeo yalipotoka wengi walipongezwa sana na watu wakiwa na uhakika kwamba watoto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Naomba yeyote mwenye copy ya Zanzibar Companies Decree aniwekee hapa. Asante natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu wana jf,nimepotelewa na chet changu cha kuzaliwa,je kuna uwezekano wa kupata chet kingine cha kuzaliwa
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenye kujua kuhusu ajira mpya za walimu kwa waliomalza mwaka huu ngazi ya stashahada na Astashahada atujuze kama lini zitatoka! Maana kuna tetesi kua huwenda zikatoka mwezi wa kumi. Mwenye...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari, Majina yangu Emanuel Maro, nimehitimu masomo katika kada ya ugavi na manunuzi (procurement and supplies management) ngazi ya cheti katika chuo cha utumishi Wa umma Tanzania (TPSC)...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau naomba kujuzwa. Hii inanitatiza sana, undergraduate inaanzia level ipi? Certificate, diploma au bachelor?. halafu pia kunamsemo, "kujiendeleza elimu ya juu" hii nayo siielewi, kwani kuna...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu? Naombeni mnisaidie,ni njia gani rahisi naweza kuitumia kufanya application ya Post Graduate South Africa ili nisichelewe kwani natarajia kuanza mwaka huu wa kimasomo. Kama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nmepata ufaulu mzuri tu wa kidato cha nne lakini natafuta shule ya private iliyo bora kitaaluma kwa masomo ya arts? Nahitaji msaada wenu.
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…