Madhara ya kupunguza viwango vya ufaulu wa masomo huzalisha ujinga mkubwa katika Taifa. Elimu ni jambo la kupewa kipaumbele katika Taifa kwasababu inaondoa ujinga na kuleta maarifa.
Yapo mataifa...
Habari wapendwa,
Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat.
Naomba...
Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu.
Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply?
Namaanisha uzuri wa...
Nawasalimuni nyote!
Naamini mu wazima.
Naomba msaada wa kupata ushauri kama ifuatavyo;-
Niliomba Scholarship nchini China kusoma Master of Public Administration na pia niliomba nchini Ujerumani...
Yani katika vitu nisivyvielewa hapa duniani tena Tanzania ni swala zima la kudisco MTU anafaulu semester zote halafu anafeli somo moja semester ya mwisho eti anaambiwa amedisco na haruhusiwi omba...
Nilikuwa napitia hapa orodha ya Wanafunzi wa Nje ya Tanzania walio anza masomo katika mwaka huu wa 2022/2023 katika shahada za azamili (masters)na uzamivu(PhD)-full time kwa Chuo Kikuu cha Dar es...
Kama mzazi una mtoto wako amemaliza chuo kisha anakuambia anabaki anatafuta ajira. Kemea kabisa hilo pepo na mwambie haraka sana arudi nyumbani kazi atatafuta akiwa nyumbani ikishindikana mfuate...
Wakuu poleni kwa majukumu,
Naomba sana msaada wa kujua kuhusu kozi hii, maana nimejaribu kuingia kwenye website ya chuo cha NIT ili nipakue lakin prospectus yao nimeikosa kabisa hivyo nimeshindwa...
Sijawahi sikia Manesi au mapolisi au Watendaji wakijengewa Nyumba au Mabwana Shamba,Kila siku ni Walimu tuu..
Je walimu ndio Watumishi saaana kuliko wengine?
Nahitaji kufahamu yafuatayo kuhusu chuo cha VETA Mara.
1.Chuo kinatoa mafunzo ya Ufundi bomba (Plumbing and Fitting)?
2. Iwapo kozi hii ipo.
3. Sifa za kujiunga ni zipi gharama zake zikoje?
4...
Wakubwa shikamooni!!
Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.