watoto (wanafunzi) wanaendelea na story zao za hapa na pale huku wanasimuliana jinsi siku ilivyokuwa nzuri shuleni.
watoto hao wanaagana na kila mmoja anaenda nyumbani kwake, Huyu mmoja anakaribia...
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena...
Wakuu kwa aliefanya hii process naomba kujuzwa hatua, sababu wenyewe hawapokei simu dogo kapata chuo cha IFM DSM campass. Nimesikia kuna ishu ya kukomfirm nimeingia kwenye dashboard Lao hakuna iyo...
wakuu habarini za asubuhi? natumaini mko poa kaisa. EE bwana wana JF naombeni msaada wa informations. Naombeni kama kunamtu yeyote mwenye taarifa za namna ya kupata scholarship ya MA iwe kule...
Kuna kijana wangu kapata four ya 26 anataka kusoma Course ya MARINE TRANSPORT & LOGISTIC.
Wajuzi wa hii Course naombeni uzoefu wenu ktk soko la ajila.
Nawasilisha
wakuu habari za asubuhi..naomba nipate elimu hapa kuhusu jambo mmoja
Kupata lecence ya nurse na kutambulika kama nurse kamili
Kuna rafiki yangu hapa kaniomba niulize hili swali
Yeye degree...
"Mimi ingelikuwa ninamshauri Rais leo ningeliweza kumuambia kidato cha 5&6 iwe X hawa waende VETA wakitoka hapo ndiyo anayetaka kwenda Chuo Kikuu aende, angalau mtu awe na uwezo fulani kabla ya...
Habari za mda huu wadau,
Nianze kwa kuwasalimia wote na kuwapa pole mihangaiko ya hapa na pale(Ishu ya bandari na kupotea kwa Esther).
Nirudi kwenye mada,kuna hizi semina za walimu wa science na...
Habari ya asubuhi!
Ndugu zangu Mimi ni mmoja wa Kijana niliyepitia shule za seminary. Hizi shule japo zina weaknesses zake lakini ni nzuri kumuandaa mtoto hasa katika Makuzi ya kiroho !
Kuna...
Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments...
Haya wale wenzangu wa UDSM especially wahandisi wa CoET , jana matokeo ya semester ya kwanza yalitolewa. Nimeshuhudia matokeo ya department ya CME yakiwa yamebandikwa na soon yatawekwa ARIS...
Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six
Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
Habari ndgu zangu, mimi ni mwalimu kitaaluma wa masoma ya History na Geography japo cjaingia kwenye mfumo rasmi wa ajira niko private na nashukuru kwa ninachokipata nmekuja hapa kwenu nahitaji...
Habari za kazi,
naomba ufafanuzi wa tofauti kati ya diploma nilizozitaja hapo juu katika mambo yafuatayo kwani mm sina uelewa kabisa na mambo ya afya.
1;ni diploma ipi ni ngumu kufaulu?
2;ipi...
Habari zenu,
Naomba msaada, nina ndugu yangu anakuja Dar es Salaam kwaajili ya kujiendeleza kimasomo kwa upande wa bachelor degree, anataka kusoma course za biashara. Ni mfanyakazi, sasa atakuwa...
Habarini wakuu...
Kwa anaejua chuo kinachotoa hii kozi uganda au Kenya naomba anifahamishe.
Naomba pia kuuliza ukisoma hii ukija bongo wanakutambua kama nani?
Habari za muda huu wakuu
Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ambapo ndiyo wamepangwa kidato cha tano. Amepangiwa Combination ya HKL badala ya CBG aliyoitaka na shule alipangiwa zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.