Habari,
Mimi ni kijana niliyefanikiwa kuhitimu diploma ya uuguzi na ukunga.
Na nimeweza kufanya kazi sehemu mbalimbali kwenye mashirika na hospitali binafsi na serikalini.
Kiukweli nimekuwa...
Shule ya kwanza matokeo ya kidato cha sita, Kemebose kutokea Kagera Tanzania wakisherekea matokeo yao kwa kuzunguka mji mzima!.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
Wakuu habarini! Nimekuja kwenu niweze kupata ushauri kwani waswahili husema " mficha maradhi kifo kinamuumbua"
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 , nilihitimu Elimu ya kidato Cha Sita mwaka...
Moja kwa Moja kwenye mada.
Siasa za nchi hii zimefikia pabaya sana. Zimegeuka kuwa za kisanii.
Nakumbuka nikiwa form four lever enz hizo nilitaka niende chuo ili nipate ajira haraka. Bahati...
Habarini wana JF,
Kama kuna mwana JF anajua labda kuna shirika au kampuni inazamini (fadhili) masomo ya stashahada (diploma) ya ualimu kwa masomo sayansi naomba msahada tafadhali mana kuna kijana...
Kwa wale ambao wangependa kuimarisha maarifa yao zaidi, kuendeleza taaluma zao, wanafunzi kupata darasa za uhakika toka wataalamu wabobezi mbalimbali nakupata maarifa mapya kwenye almost field...
Wasalaam...
Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine.
Conditions
1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical...
#mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka Jana na nimebahatika kuchaguliwa kwenda A-level( Bwiru Boys Secondary School) katika mchepuo wa PCM.
Nilikuwa naomba kujua ubora wa shule...
Wakuu salama?
Nina mdogo wangu anasomea Kenya kwa ufadhili wa kanisa sasa mwaka huu anahitimu darasa la nane. Nilitaka akimaliza aje aendelee huku na masomo ya sekondari. Naomba kujua yafuatayo...
Habari za wakati huu wanajukwaa,
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne Alipata ufaulu wa Division 2 na alisoma masomo ya Sanaa(arts) Kapata selection ya chuo cha uhasibu Dar es salaam (TIA)...
Nimechaguliwa kusoma kozi zote nne nilizoomba kusoma kwa level ya Masters.
1. Ya kwanza MS in Business Analytics and Management.
2. Ya pili MS in Finance and Economics.
3. Ya tatu ni Ms in...
Bonjour,
Nilisoma HGL. Naweza kusoma Diploma ya IT?
Na kama inawezekana chuo gani kizuri Kwa field hiyo Kwa hapa Dar.
Je, katika IT ni specialize kwenye mambo yapi at least Kuna soko la ajira...
Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi?
Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
Habari wadau,
Nina mwanangu yupo darasa la 3 shule zetu hizi za kisasa, English medium za kati.
Nimepata wazo la kumuhamishia Kenya. Kumtafutia shule nje ya nchi ni ili apate elimu...
Mie nimemaliza Advance kitambo, sana walimu nisaidieni.
Mdogo wangu amechaguliwa kwenda kusoma pwani Kwa wazaramo, advance na kombi ni PCB.
Nimegoogle shule nikakuta matokeo ya mwaka Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.