Napenda kuwakumbusha Kuwa Majengo ni shule ambayo Sita sahau mana nilijifunza Mengi kupitia Broo Lyimo nimemmiss sana Kama wewe ni wa Majengo tukumbishane chochote kuhusu shule yetu wadau.
Wadau habari za muda poleni na majukumu na changamoto za hapa na pale zikiwepo za mkataba wa kubinafsisha bandari kwa DP world.
Mambo yasiwe mengi, nimevutiwa na Course ya Public Health...
Waungwana, Salaam!
Ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo binafsi kwa ajili ya kusomea Computer Science chuo cha SAUT - Mwanza.
Kuna mwenye uelewa wa kiwango cha ada kwa mwaka ikoje kwa kozi hii?
Hii ni kauli mbiu ya Chuo Kikuu Mzumbe S.L.P.1 Mororgoro, Tanzania. kutokana na hii kauli mbiu imewafanya viongozi wengi ambao wamepitia katika chuo hiki kuwa na hamu pamoja na uchungu katika...
Salaam wakuu!
Naomba kujua ni shule zipi bora kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology (PCB) kwa A-level.
Mwanafunzi ni wa kike, kwahiyo shule inaweza kuwa mchanganyiko au girls tu.
NB...
Hayawi hayawi, Sasa yamekua. Form Five Selections zimetoka tayari.
https://selform.tamisemi.go.tz//content/selection-and-allocation/2023/first-selection/index.html
Uchaguzi wa Kidato cha Tano 2023/2024: Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Na Vyuo – Kila mwaka, wanafunzi kote nchini husubiri kwa hamu kutangazwa kwa waliochaguliwa kidato cha tano. Kwa...
Habari za wakat huu wakuu
Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu
Kwanza zinahusiana na nini hasa
Pili ipi ni bora zaidi ya ingine
Tatu upande wa kujiajiri ukoje
Nne vyuo vinavyotoa kozi...
Wadau kama mnavojua selection zimetoka Jana na mdogo wangu amepangiwa huko Mbozi - Songwe shule ya Simbega.
Yaani ni mbali kutoka hapa na nauli yake ni kubwa. Huyu dogo kapiga sayansi vizuri...
Kwanini Mchungaji akitaka gari anachangiwa na muumini akitaka gari anaombewa
Ndio hawayataki haya Zanzibar
Atokee shekhe sasa anadai achangiwe, au atafune hela ya msikiti, atatafuta pa kujizika...
Wakuu mwenye kufahamu kama Lyamungo High School kuna combination ya PCM anijulishe tafadhali.
Kuna dogo kapangwa huko PCB ila yeye anataka PCM nimemuahidi kumtafutia taarifa.
Natanguliza shukrani.
Waheshimiwa, mdogo wangu wa kiume amepangiwa kusoma Diploma in Secretarial Studies katika Chuo cha Utumishi wa Umma.
Sasa hii fani naona kama imeegemea upande wa wanawake sana,
Maana'ke sijawahi...
Wakuu kwema?
Nimetoka kuangalia tangazo la huyu binti anayerudi shule baada ya kupata ujauzito, na kwamba ni kweli haki elimu ni matangazo bora zaidi ya Elimu kwa miaka mingi.
Ni nani...
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu...
Nilikuwa napitia majina ya wanafunzi waliochaguliwa katika shule bora za serikali nchini. Kwa asilimia zaidi ya 90 wamejaza watoto wanaotoka shule za binafsi /private. Na kama unavyojua hizi shule...
Salaam,
Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha.
Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu.
Kwa kosa...
Wazazi umewaweka kwenye mtanziko mkubwa kwa ukimya wako wa kutotangaza selection ya wanafunzi kwa mwaka 2023/24, hapa tulipo tuko njia panda, maana hatuelewi kinachoendelea huko.
Tujulisheni kama...
Msaada members, Nina mdogo wangu amechaguliwa jeshini na kashaondoka, Sasa katika pitapita zangu nimeona Kuna mtu anasema katika application za chuo na mikopo ni lazima uwe na no. Ya NIDA.
Je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.