Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu samahanini kwa usumbufu,.nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne,ufaulu wake ni Division III(24) (kiswahili, english, history, geography)-𝐂 (civics, biology, phyisics, chemistry)-D...
1 Reactions
4 Replies
603 Views
Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Tunapozungumzia Elimu inayokuza umahiri kwa mtoto tunamaanisha nini?
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Kijana mmoja baada ya kumaliza masomo yake ngazi flani wakati akisubiria ajira ana amua kujiingiza katika kilimo cha mahindi na maharage, Anakodi shamba lenye ukubwa wa heka 3 =240,000/ kufukua...
6 Reactions
9 Replies
893 Views
Hii hesabu nimerudia mara tatu na inaniletea majibu tofauti na hii calculator ni ya simu kubwa ya samsung s23 utra sasa sijui haya makampuni ya kinatecno itakuwaje. Na kwa hizi calculator...
9 Reactions
158 Replies
7K Views
Naomba kujua sehemu/maduka yanayouza vitabu vya SOCIAL WORK na COMMUNITY DEVELOPMENT kwa hapa Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kufahamu visawe vya maneno yafuatayo 1. Bahati Naomba maana ya neno Nuksani!
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Habari wana JF, Napenda nielewe kwanini walimu wa Biology na chemistry Huwa hawajijari hasa kwenye suala la mavazi. Walimu wangu wa O-level wala hawakuwa na mda wa nguo nzuri kama walimu wa...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie kunipa mwanga kidogo kuhusu hii corse, nahitaji mdogo wangu akasome. Naombeni muongozo kwa watu wanaoijua hii course[emoji120].
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Pongezi kwa wote ambao mmefanikiwa kuhitimu elimu ya sekondari kwa mwaka huu. Safari inaendelea na huko mbeleni yapo ya kila aina ila wewe unaweza kubaki wa aina hiyohoyo au aina mpya kikubwa ni...
2 Reactions
3 Replies
714 Views
Tunakaribia mwisho wa muhula wa kwanza ambapo shule zitahitajika kuandaa ripoti kwa kila mwanafunzi. Ripoti hizo hupewa wazazi/walezi wa watoto (wanafunzi). Nimekuandalia mfumo wa matokeo, na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi. Naomba recomendation za shule nzuri za msingi- english medium ambayo mbali na kufundishwa vizuri, pia watoto wananolewa vizuri kuongea kingereza kizuri. Itanipa unaafuu...
1 Reactions
2 Replies
952 Views
Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Binafsi ninaguswa na mijadala ya mustakabali wa elimu yetu nchini. Kila aina ya watu wanajitokeza na mitazamo yao juu ya hali ya elimu kwa sasa; wapo wanaosema tatizo ni serikali yenyewe...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili...
1 Reactions
4 Replies
962 Views
Habari, msaada jamani natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya graphics design kinachotoa course kwa uwakika hapa dar es salaam kwa anaekijuwa tafadhali anijuze.
2 Reactions
2 Replies
555 Views
Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kinyume cha Ardhini ni; a) Angani b) Mbinguni Katika jibu utupe sababu ya jibu lako. Wataalamu wa Kiswahili karibuni.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeona chuo kikuu MUST wanakozi za bachelor of technical education ambazo zipo katika Civil Engineering, Mechanical Engineering n.k. Sasa nilikuwa nahitaji ufafanuzi zinatofautiana vipi na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa la Elimu, Nisiwe na maneno mengi sana, ningeomba kujua sifa zipi hutumika kujenga chuo cha ngazi ya chuo kikuu, iwe mjini au katika mji mdogo. Je, fedha na mali pia huzingatiwa...
1 Reactions
3 Replies
416 Views
Back
Top Bottom