Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri, naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Habari, natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya graphics design kinachotoa course kwa uwakika hapa dar es salaam kwa anaekijuwa tafadhali anijuze.
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Nchini Tanzania, suala la wanafunzi wadogo kubeba mifuko yenye uzito mkubwa kwenda shule na kurudi limekuwa tatizo kubwa. Mfiduo wa muda mrefu wa mikoba nzito inaweza kuwa na athari mbaya kwa afya...
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Baraza la Mitihani (NECTA) limesema kuwa leo Mei 2, 2023 Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita utaanza huku likitoa namba maalum ya kupokea taarifa za udanganyifu wa aina yoyote utakaofanyika...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu Prof. Mkenda amewataka Watanzania kudumisha Maadili mema kwa kukemea Wizi wa Mitihani Kwa sasa Mitihani ya Kidato cha Sita ndio inafanyika Ukimuona Mwizi wa Mitihani toa Ripoti...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Form four results DIV 3 YA 25 Ponts CIV =C HIST =D GEOG =D KISW =C ENG = D ELIMU/D/KIISLAM =C ARABIC = D BIO = D B/MATH= F Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Imepita miaka takribani 12 sasa, tangia Tanzania ilipapata kumshuhudia mwanafunzi aliyeshindikana katika maswala ya Elimu hapa namzungumzia,Tanzania One (2006) Elias Kihombo katika matokeo ya...
26 Reactions
716 Replies
160K Views
WARAKA KWA SERIKALI KUHUSU WAALIMU, SERIKALI IWAJALI WALIMU Ni muda sasa umepita kukiwa na manung'uniko kwa walimu katika nyanja nyingi zinazohusu maslahi yao ikiwemo mishahara yao, stahiki zao...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau nasalimia kwa jina la Aliyeko juu ya kila kitu na kila jambo. Naomba ushaur naipataje degree ya masuala ya Bima nikiwa dar. Hasa kwa njia ya non full time studies! Ili nisiathiri...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
WALIMU WACHAPWA FIMBO NA WAZAZI SHULENI. Itakumbukwa kuwa Mwaka 2009 ilitoke tukio la Mkuu wa Wilaya Bukoba wakati huo Bw, Albert Mnali aliyeamuru polisi mmoja kuwachapa viboko...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
People going on YouTube to search "how to make $1000/m with freelancing ten minutes video" Instead "How to build a successful freelancing career three hours video" Everything starts with your...
2 Reactions
0 Replies
328 Views
Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha utafiti ni muhimu sana kwa sababu kinapaswa kuwa na maneno yanayoelezea kwa usahihi na kwa ufupi lengo la utafiti wako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia unapotafuta...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wapendwa
0 Reactions
25 Replies
19K Views
Habari zenu wote? Nimefanikiwa kupata admission mwaka huu Sweden lkn sijapata SI scholarship. Je, kuna namna yeyote ya kupata mkopo/mfadhili ndani au nje ya nchi? Anayefahamu anijulishe kwani...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Mimi nilichaguliwa UDOM Bsc in Computer Engineering mwaka 2013 na nisiwe muongo tu wakuu nilikuwa mzembe sana kipindi nipo chuo. Nilikuwa siingii class, yani me ni mtu wa Town tu Mara Jamatini...
67 Reactions
261 Replies
51K Views
Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya...
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Tendeni haki msitingishwe. Kama mtu kafaulu apewe maksi zake. Kama kafeli arudie mtihani no mercy! Hakuna huruma, lazima mtu apate haki yake. Msiogope siasa na wanasiasa simamieni miiko na...
4 Reactions
9 Replies
368 Views
Mimi ni mwalimu Miaka kadhaa kazini Nina mpango wa kwenda kufundisha vyuo vya kati kama assistant Lecturer. GPA yangu ya undergraduate ni 3.5 (Bachelor of arts with education Linguistics and...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom