Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Katika historia ya elimu yetu Tanzania kuliwahi kuwa na somo la stadi za kazi kwa shule za msingi ambalo lilikuwa msingi mzuri kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za ufundi. Somo hilo lilifutwa...
1 Reactions
1 Replies
691 Views
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6 SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi...
9 Reactions
115 Replies
9K Views
Inatia mashaka na aibu kama Bwakwata (kundi dogo) la waislam nchini linapowapotosha waislam na wananchi wote wa Tanzania kuhusu lini iwe sikukuu za kiislam na lini isiwe kwa kutumia kifungu kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba msaada wa kozi gani marketable chuo Cha kati kwa binti mwenye matokeo haya kidato Cha nne. Division 4 ya points 27 CIV - 'C' HIST - 'F' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
0 Reactions
4 Replies
698 Views
Nataka kujiunga na chuo cha Uhasibu, Nahitaji kujua course gani ni nzuri kusomea ili kupata maarifa katika business, course zenyewe ni Business administration na Human resources na ukubwa wake...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wadau...naomba mnijuze au kama mtu ana document inayoonyesha udadavuzi wa scale hizi za mshahara PUT, HTS na PGSS anisaidie
1 Reactions
10 Replies
24K Views
naombeni kujuzwa kwa anayefaham tofauti kati ya ordinary diploma na advanced diploma make hiv v2 wiwili vnanchanganya cjuh tofaut yake!
0 Reactions
13 Replies
22K Views
Naombeni ushauri wenu Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za majukumu. Naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu. Naomba wenye waraka wa muundo wa utumishi wa wizara ya fedha na mipango anisaidie Nina shida nao. ( Current updated)
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Sikatai Mimi ni mwanafunzi chuo X. Sasa kuna swali tumepewa nimeshindwa kutoboa. Nimekesha sana Nimeenda library sana. Tumejadili kwq pamoja na wenzangu ila nimechemka. Naomba msaada tafadhali...
0 Reactions
5 Replies
942 Views
Habari za Leo wataalamu na wabobezi wa fani mbalimbali. Niende Moja kwa Moja kwenye Maada. Naomba mwenye waraka/Mwongozo wa muundo wa kiutumishi (job schemes) unaosimamiwa na wizara husika...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
samahanini ndugu zangu naomba msaada, shule nzuri za serikali zinazofundisha PGM
3 Reactions
12 Replies
668 Views
Ni maeneo gani katika mkoa wa dar es salaam hasa pande za mwenge kunaweza patikana chuo cha ufundi stadi kama kupamba au urembo.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kuuliza kwenu wakuu, upi ni ushauri wenu kwa Mimi/ sisi vijana ambao tupo vyuo vikuu, juu ya kuwekeza kupitia pesa ya boom. Mfano mm apa had sasa nipo semester naingia semester ya nne nime...
1 Reactions
4 Replies
452 Views
Habari waungwana, Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa, niokoe muda ili nisiwachoshe ndugu zangu, kitaaluma mimi ni mwalimu na tayari nina diploma ya physical education ambayo...
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Naomba mnisaidie kunielewesha hii course ajira yake iko vipi na mambo mengine kiujumla.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED NACTE fanyieni Kazi...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Back
Top Bottom