Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwanza kabisa nawasalimu Sana. Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia. Baada...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila shaka nyote wazima wa afya. Ningependa wale tuliopiga Pure Mathematics A level...tujikumbushe mambo haya. .Ni topic zipi/ipi ilikuwa ngumu sana kwako na ipi uliionea sana na changamoto zipi...
4 Reactions
349 Replies
46K Views
Habari wakuu Nina mpango wa kutuma maombi kwenye chuo tajwa hapo juu, je hali ya mavazi ipoje mkuu, inaruhisiwa mikato ya aina yoyote au ndo uislam mwingi vibarakashia kama vyote ?
4 Reactions
124 Replies
6K Views
Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa waliofanikiwa kufanya maombi ya ajira hizi za waalimu kuna sehemu nakwama kipengele cha elimu ya chuo, sasa kwa ngazi ya diploma kwanza Reg.Number ni gani Kwenye cheti ni Index Number na ndio...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa alie na transformation and programme ya udereva mwaka huu 2023 yaani miez ambayo NIT watatoa courses za udereva kwa mwaka huu anisaidie
1 Reactions
2 Replies
761 Views
Elimu bila ada kwa shule za shule za msingi na sekondari imeongezewa kwa asilimia 15.34 kwa mwaka ujao wa fedha 2023/24 ikilinganishwa na bajeti iliyoidhinishwa katika mwaka wa fedha wa...
0 Reactions
6 Replies
576 Views
[emoji1318] WAKUU, BINTI YANGU ALISOMA PCM MWAKA JANA, MATOKEO YAKE NI "EDE", WAKATI TCU WANATAKA ANGALAU "D" MBILI NDIPO MTU APATE UDAHILI WA KUSOMA DIGRII, NA BAJETI YA KUMPELEKA KUSOMA DIPLOMA...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
3 Reactions
9 Replies
668 Views
Jamani vyuo vipi vinatoa degree ya environment health hapa bongo
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari poleni na majukumu samahani mimi na swali pia naomba ushauri wenu mimi ni mdogo wenu samahani sana. Mimi nimerudia mwaka jana kidato cha 4 lakini baada ya matokeo kutoka nimefatilia result...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
Tanzania nchi yetu hakika programming imekuwa shida haswa kwa vyuo vyetu shida ni nn? Walimu wabobezi hatuna au watanzania wagumu kufikiri?
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari wana JF? Nauliza je kunauwezekano wa kubadili kozi katika chuo kikuu Cha UDOM ikiwa nahitaji kuchukua kozi ya nursing na pass zangu Ni DCD?
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wanajamvi, Je inawezekana kupata GPA tajwa hapo juu, na ukitoa mfano hai itapendeza,karibuñi (kwa level ya chuo kikuu)
3 Reactions
100 Replies
18K Views
Wakuu naomba mwenye kitabu kinaitwa unmarried wife anitumie Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli 🙏
1 Reactions
8 Replies
929 Views
Habari ndugu zangu, naomba kufahamu kwa anayefahamu ubora wa bachelor degree zinazotolewa na chuo kikuu cha St. Joseph in University upande wa elimu kwani nina ndoto za kusoma chuo hicho.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nawezaje kutuma kazi za huyu lecture kwenye email yake
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Habari xenu wakuu, natumai ni wazima wa afya. Kama Kuna mtu ana hitilafu yeyote kiafya basi nichukue nafasi hii nimpe pole sana. Dhumuni la kuja hewani leo ndugu zangu, kaka zangu, dada zangu na...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom