Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho. Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022. Masharti na Sifa kwa Waombaji...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Imekaaje hiki cheti cha Diploma ni Dhahabu wakati cheti cha Advanced level ni Mkaa .Serikali ianze kuleta ubunifu kutoa kipaumbele cha Ajira kwa wenye Advanced Certificate.
3 Reactions
10 Replies
1K Views
POEM_DEDICATED_TO_ALL_TEACHERS. I AM A TEACHER... I May be a School Teacher, I May be a College Lecturer, I May be a University Professor ! Behind That Doctor, It is Me, a Teacher ••• Behind...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri...
2 Reactions
17 Replies
8K Views
Habari wanajukwa, Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs). Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tukiacha changamoto za maji, umeme, tozo na mengine, naamini wote ni wazima na wenye changamoto za kiafya basi Mungu awape wepesi. Niende kwenye mada, kama title inavyojieleza naomba kujua kuhusu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mwanzo wa mwaka unapokaribia wazazi wengi huanza kutafuta shule bora kwa ajili ya watoto wao kujiunga ili wajiendeleze kielimu. Wakati huu ndio ambao wazazi hulazimika kuwapeleka...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu ya Tanzania inatia hasira tena inaumiza sana hasa unapoichunguza kwa undani ebu fikiria aliye pata ZERO kidato cha nne anaaminiwa kuwaandaa wanafunzi wa shule ya msingi et! Mwalimu, mwalimu...
2 Reactions
11 Replies
755 Views
Wakuu naomba mnisaidie Mimi nimehitimu kidato cha NNE mwakaa 2019 nikapata Chemistry-C, Biology-C, M aths-C, Geo-C, Physics-D, Hist-C, Kiswahili-C na English- C, nina 2point 21 he ninaweza kupata...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari, Naitwa Ikra nina miaka 24, mkazi wa Dar Temeke, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 4 mnamo mwaka 2016 na nilipata Division 4 ya (29), japokuwa darasani nilikuwa niko vizuri sana hata...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Canada is an Indian word meaning "Big Village". There are two credit cards for every person in the United States. "I am." is the shortest complete sentence in the English language. The...
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Hello members, Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku. Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM...
7 Reactions
93 Replies
4K Views
Mtoto kafanya mtihani wa darasa la Saba mkoa X, kwa sasa amehamia kimakazi mkoa y, kafaulu kwenda kidato cha kwanza. Je, inawezekana kumhamishia huku aliko kabla selection za Schule hazijatoka...
2 Reactions
5 Replies
576 Views
Kama kichwa kinavyojieleze, ikiwa unasoma, au umewahi kusomea Open University kwa Bsc. Education, naomba tujuane tupeane uzoefu wa namna ya kutoboa kozi hii. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Apart na kuagiza nje ya nchi ambapo itachukuwa muda mrefu wa wiki mbili. Nataka kujua wapi ndani ya dar es salaam naweza kupata hiki kitabu kwa ajili ya programming.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Nina sapp nne 4 semester 1 na 5 second semester. Je, kunauwezekano wa kuchomoa?
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari za sasa hivi. Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi? Natanguliza...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Siku hizi mitaa imepambwa na degrees za kutosha kutoka mavyuoni, Lakini cha ajabu vijana wamekua wakitia huruma kuliko hata aliyemaliza la saba, WANACHUO wengi wanapata taabu sana huku mtaani...
21 Reactions
184 Replies
10K Views
Back
Top Bottom