Poleni na majukum wakuu, kama kichwa cha habari kinavo jieleza jana usiku nilipokea cm kutoka kwa mwanafunzi X wa chuo cha afya tabora kijulikanacho kama TABORA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED...
Habali wakuu?
Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo...
Cheti kikubwa kuliko chote ni cheti cha F.4 hiki wengi hawajui. Kimsingi cheti cha F.6 hakina ishu kabisa labda kwa wale wanaopenda mambo ya afya zaidi maana hiki cheti kina matter sana huko...
Wakuu
Hii kozi ya mass communication inatolewa kwenye chuo gani ambacho kipo dar es salaam ukiachana na UDSM, na ada zake zipoje maana nimejaribu ku-google ila naona mapicha picha tu.
Wakuu, kwema?
Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae...
Wakuu Nahitaji Kujua Shule Nzuri Na Affordable Kwa Kijana Mvulana Anayeanza Kidato Cha Kwanza. Mawazo Yenu Tafadhali. Iwe Ya Private Na Yenye Mchepuo Mzuri Wa Kingereza
Sasa tumekaa nyumbani wiki tatu, halafu kesho tunafungua chuo unakutana na tangazo kwamba mwanafunzi yeyote hatoruhusiwa kusain stihaki hadi pale atakapopata kitambulisho (ID) ya mwaka mzima...
Ipo siku walimu wataamka,
Ipo siku walimu watasimama,
Ipo siku walimu wataamua,
Ipo siku machozi yao yataisha,
Ipo siku walimu watapewa heshima wanayostahili,
IPO siku watatambulika kama Watu...
Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika;
Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye...
Japo sio shule zote ila shule nyingi hakuna mwalimu anayedhalauliwa na kunyanyasika kama mwalimu wa kujitolea sio na walimu hata wanafunzi pia baadhi ya wanafunzi wakijua mwalimu wa kujitolea huwa...
Huu ni ukweli usiopingika kuwa wale wanafunzi wanaongoza ngazi ya sekondari hasa kidato cha tano au cha sita ni vipanga halisi ambao wanapatikana kwa kujua vitu vingi na kuwa serious kwenye masomo...
Amani iwe nanyi katika kipindi hiki cha mifungo ya kwaresma na ramadhani.
Tuendelee na toba na sala/dua ili mwenye enzi Mungu atusamehe dhambi zetu pamoja na adhabu na laana zake, ili mwisho...
Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika...
Viongozi wenzangu,
Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ufuatiliaji unaofanyika shuleni na OR TAMISEMI Umebaini mambo mengi ikiwa ni pamoja na:
1. Baadhi ya walimu ktk Shule...
Hello,
Kuna idea ya app ya habari worldwide naifanyia kazi, ningependa kushirikiana na mtu wa journalism. Itakua vizuri kama atakua mwanafunzi anayejua kuandika english nzuri, mwenye computer...
Mfumo huu (excel template) unauwezo wa kukusanya matokeo y shule hadi 100 na kila darasa linachukua wanafunzi hadi 400. Ni template ya O-level, inatumika kwa:
-Pre mock exams
-Joint examinations...
Tujadiliane,
Ufumbuzi wa ugumu wa kufundisha somo la hesabu Tanzania umeshindikana na kufanyika janga la taifa.
Nadhani warasimu waliokasimiwa jukumu la kuleta mfumo rafiki wa ufundishaji hesabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.