Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Utangulizi Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu amehitim kidato cha nne amepata division four ya 27. CIV - D HIST - D GEO - D E/D/KIISLAMU - D KISW - C ENGL - D CHEM - D BIO - D B/MATH - F Kwa alama hizo anaweza kusoma kozi...
0 Reactions
5 Replies
657 Views
Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao...
1 Reactions
12 Replies
734 Views
Habarin Wana JF, Mimi ni mwanafunzi wa bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ndoto zangu ni kuendelea na masters baada ya kuhitimu kuhusu GPA nina 4.1 first year naimani itarange humo...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
  • Poll Poll
wakuu leo nimekuja na Poll kura yako inaenda wapi kati ya special school za wavulana binafsi nazipenda special navutiwa na league yao Pichani TS, KSS, Mzumbeni,Ilboru
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Naomba tusaidiane wazazi kwa kuambiana Shule za English medium. Kumekuwa na changamoto kwenye uchaguzi wa Shule kwa wazazi ambao watoto wetu wanaanza class one itatusaidia. Naomba utaje Jina la...
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za mchana Wana Jf. Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya Muda sasa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu naomba anayeelewa kuhusu associate degree anifahamishe na inaweza kuwa equivalence na level gani ya elimu kwa hapa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Habari Wana Jf hope wote ni wazima, niende kwenye mada moja kwa moja. Mob psychology ni Hali jumuishi ya kundi kubwa la watu kuwa na mawazo au mtazamo unao fanana. Kundi kubwa la watu Lina amini...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
LEO TUPATE ELIMU KIDOGO JUU YA HAWA MABWANA Na Comred Mwanakijiji Mwanakijiji Mkwawa Miongon MWA kero kubwa Sana za WALIMU huko makazin NI juu ya hawa jamaa wanaojiita maafisa ELIMU kata...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu Asalaam Alaykum, Naomba kufahamishwa Accredited centers za CISA kwa Tanzania na gharama zao. Ukiachana na hii ya online inayotolewa moja kwa moja na ISACA. Au ushauri kwa mwenye uelewa...
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Ni ngumu kuelewa/ kuamini ila kati ya watu waliojutia kusoma sana na kufaulu vizuri ni mimi. Nilitumia nguvu nyingi kusoma O-level, na kweli nguvu zile hazikwenda bure, Nilichomoka na div 1.11...
128 Reactions
305 Replies
45K Views
Salaam! matumaini yangu ni kwamba jumapili ya leo ni nzuri na tuna chukua hatua kuepukana na Corona. Leo nimekumbuka mbali enzi za primary ,O-level, na A-level back in the days. Kuna hawa...
2 Reactions
80 Replies
13K Views
Wadau najua humu kuna wanaojua mambo mbalimbali. Natafuta mtu au chuo zitakazonifundisha kutengeneza photocopy mashine, printer, scanner na nk. Kama mpo tafadhari mnicheki. Please.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Napenda kufahamishwa yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani. Mimi nina kadigrii kamoja lakini bado sijaona matunda yake hadi sasa, nimechoka kusikia ahadi hewa za...
8 Reactions
192 Replies
21K Views
Habari wakuu, hope wote ni wazima. Pasi na kupoteza muda ni ende kwenye lengo la Uzi huu. Awali yoyote mm ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu katika moja ya chuo kikuu apa Tanzania mwaka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Je, ni vyuo vipi bora na naweza pata elimu iliobora kabisa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu! Naomba kuuliza, Kuna dogo langu amepata division one ya 8, ila combination anazotamani kusoma yaan PCM,PCB na PGM, ufahulu wake ni (CAA) make Physics ana "C " afu hayo...
6 Reactions
115 Replies
6K Views
Back
Top Bottom