Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau naombeni kujua uhalisia wa hicho chuo, kinatambulika hapa kwetu tanzania ?? vp shule yake ni ya ukweli ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kawaida ya binadamu kuogopa wanyama hatari kama vile Simba, Nyoka, Chui n:k. Lakini hili limenishangaza zaidi na zaidi kuwa ukikutana na CHATU hutakiwi kumpiga. Na endapo utampiga na kumuua...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Naomba mnisaidie wadau wote wa elimu, hivi kuna tofauti gani kati ya lugha kienzo ya kamusi na lugha chasili ya kamusi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau wa masuala ya taaluma ya elimu ya juu, ninawaomba mnichagulie ni fani ipi ninaweza kusoma na nisijutie nikiwa mtaani baada ya kuhitimu.Fani zenyewe ni Electrical Engineering, Mechanical...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Naomba msaada. Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English & Kiswahili, Biol D, Geog D, Civ D, Hist D na Math's F. na Hakusoma Sayansi. Msaada, Kozi gani itamfaa?.....
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ktk kuisaka shahada nimekuwa nikichanganywa na malecturer kutokana utofauti wao wa yale wanayoyafundisha vyuoni! Hapa nitaweka mifano miwili: Katika Adminstative law, tulifundishwa 'Alter...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau. Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo? Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au?? Msaada jamani...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu! Kutokana na tatizo la ajira kuwa sugu Tanzania na hata dunia nzima, na kupelekea vijana wengi kubaki mitaani na wasijue cha kufanya, na kwa sababu vijana hatukua na umoja wa...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau nataka kujiandikisha OUT mwaka huu. Vipi ada zao Sh ngapi kwa undergraduates? Registration fee Sh ngapi mwaka huu. Hiki chuo kinatufaa sana wafanyabiashara. Je kuna kozi za diploma?
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Wanajamvi kuna tetesi kuwa vyuo vya ualimu vitakuwa vinaendeshwa na NACTE.Kama kuna yeyote mwenye kujua taarifa kamili naomba azimwage ili tujue nini kinajiri. Pia ningeshauri kuwa vyuo vya ualimu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu nina mtoto wa marehemu kaka yangu msichana amefeli kidato cha nne, amepata zero. Nataka nimuendeleze kuanzia certificate naomba maoni yenu, kozi ipi itamfaa, yeye anapendelea nursing na utalii
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Nimekuwa nikijiuliza kwanini mabinti wengi wanachukia somo la hisabati?. Katika kusoma kwangu O-level (additional math) mwanamke alikuwa m1 kati ya wavulana 20. A-level (PCM)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, kumekuwa na tabia ya kunasibu kila somo na sayansi. Siku hizi utasikia "Sayansi ya siasa" , "Sayansi ya Jamii" nk. Mawazo yangu: Masomo ya sanaa yanasibishwe na sanaa na Sayansi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kunamtu kaniambia eti wale wanao subiri application za vyuo vikuu (TCU)waanze kufanya iyo process sasa sina uhakika kusiana na ilo. Tunaombeni msaada kama kuna mtu aliye sikia ilo atujulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By DAILY NEWS Reporter, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 111 ARDHI University will on Saturday mark another milestone in the country’s education profile when new six degrees...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wana jf,.ni matumaini yangu mu~wazima. ..nia na dhumuni la kupost hapa, ninaelewa hapa jf tumekusanyika watu wengi na mbalimbali kutoka sehemu tofauti tofauti!!..naamini pia kuna...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nataka kujua ndugu zangu,mtu aliesoma degree ya mathematics huwa anakuwa nan au anafanya kaz gan?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
wana jf aman kwenu,naomba mnijuze hili,kuna tofauti gani ilyopo kati ya kuapply kwa equivalent qualification kwenye sehemu iliyopo web ya TCU na ile iliyopo kwenye web ya NACTE au ni kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello waungwana! Imekuwa ikisemekana kuwa hesabu na masomo ya Sayansi ni ngumu sana na ugonjwa wa taifa! Lakini kwa uzoefu wangu,nimegundua shida kubwa ipo katika mtazamo tunao jengewa na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu kuna mtu anauliza hapa akasomee ipi ambayo iko marketable sokoni sio kuajiriwa tu hata kujiajiri mwenyewe nawasilisha Ningemjibu ila bado sijafika uko asante
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom