Computer Science vs Sociology vs Business Administration.
Course gani kati ya hizo ni more marketable, yenye future nzuri na bila kusahau maslahi mazuri.
Ahsanteni.
Habari zenu wana JF.
Naomba yeyote anayeijua program/software inayotumika kuandaa ratiba ya vipindi vya masomo na mitihani katika vyuo au shule kubwa, anitajie tafadhali. Pia upatikanaji wake...
Zimebaki takribani km cku 15 vijana kidato cha sita nchini kote waanze mitihani yao ya mwisho, ni wao pekee watakaohukumu future yao ktk maisha ya kitaluma.Ungana nao kwa maombi mbele za Mungu wa...
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga...
Wakuu heshima mbele.Katika kupita pita kwangu nimekumbana na swali likinitaka nieleze uhusiano wa Histone na mRNA na nieleze kwa nini Histone haina mkia wa Adenylate Polymer kwenye...
Junior students (forms III & IV) and senior students (forms V & VI) from any recognized secondary schools in Tanzania are invited for a contest to test their aptitude in mathematics. The contest...
Hv juz wakati walimu wapatao 150 waligoma kuondoka katika ofisi za halmashauri ya manispaa ya Bukoba KWA kile walichodai kuwa wamechoshwa na dharau PAmoja na dhuluma inayofanywa na wahusika...
Habari za mida wakubwa, naomba kujuzwa namna GPA zivopatikana (namna ya ku-calculate GPA).
Pia naomba kujua first class GPA yake ni ngapi, second class, lower second n.k...
Do it 4 me pliz...
Habari za kazi pole na majukumu. Ndugu zangu wa Dar es salaam pole na matatizo yanayoendelea kutupata ya mafuriko Mungu tu atatutetea .Kwanza nianze kwa kuwashirikisha katika hili
Mimi ni kijana...
Samahan wana JF, naombeni kusaidiwa, wanaoomba ualimu, kwa waliomaliza 2013, wanatakiwa kuwa na division 3, au four 33 na 34, maana nimeshindwa kuelewa vizuri. Naombeni msaada wenu.
Jamani,mimi ni mwanafunzi wa shule moja hapa nchini.Niko na rafiki yangu darasa moja,sasa ameingia mgogoro na mkuu wa shule sasa amemuahidi kwamba atamharibia matokeo.Naombeni msaada,ni kweli...
Nina kijana amebalance vizuri kwenye matokeo yake ya kidato cha nne masomo ya sayansi.
yeye anataka kufanya PCM ila mimi nilikuwa namshauri afanyePCB ana B+ ya Maths,physics,chemistry...
Habari zenu wakuu. Natumai nyote ni wazima.
Kama mada tajwa hapo juu inavyojieleza, ningependa kujua tofauti kati ya watu hao wawili kwani nimekuwa nikipata shida sana katika kutofautisha kati ya...
Kama wewe ni mzazi mwenye Mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv), Au ni mwanafunzi wa O level (kidato cha i - iv) pata Bure nakala ya kitabu hiki kinachoelezea jinsi ya Kufanya Practicals za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.