ipi kati ya hizi iko poa zaidi
ya ENVİRONMENTAL HEALTH SCİENCES WİTH İT YA RUCO VS ENVİRONMENTAL HEALTH SCİENCES YA MUHAS .
Ifuatayo ni ilani ya uchaguzi ya mgombea umakamo wa urais katika serikali ya DARUSO-DUCE. Hata kama wewe sio mwanduce ipitie uone jinsi huyu mtu alivyo hazina ya DUCE na hata jamii nzima ya kizazi...
Naomba maoni yenu na ushauri.
Je ni vizuri au vibaya kumchapa mtoto anapokosea? kwa nini?
je ni vizuri au vibaya kumpa adhabu mtoto anapokosea?
je kuelimisha na kueleza madhara ya kosa...
Nawakilisha,
Kuna habari zimenifikia mida hii kutoka chuo kikuu cha Tumaini college ya iringa kwamba hari si shwari kuhusiana na utaratibu mzima wa uendeshaji wa kozi zake na hasa upande wa...
Nukuu hii hapa chini ni malengo makuu ya kuanzishwa kwa shule ya Southern Highlands School inayotoa elimu kwa kufuata mtaala wa lugha ya Kiingereza (English Medium School).Shule hii inamilikiwa na...
na Sauli Giliard
WATU watatu, akiwamo mwanafunzi wa kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Azania, jijini Dar es Salaam wamekamatwa wakiwafanyia mitihani wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi...
Mabaki ya Buibui Yenye umri wa Miaka Milioni 165 yapatikana nchini China
Mabaki ya Buibui yenye kukisiwa kuwa na umri wa Miaka Milioni 165 yaligundulika katika mkoa wa Kaskazini mwa China...
wadau naomba ushauri,nipo katika mazingira ambayo naweza soma chuo kikuu huria tu(OUT)..pia nataka nisomo kozi kati ya hizo hapo juu kwa ngazi ya postgraduate diploma,lkn sijui ni ipi itakayo...
jamani naomba kujuzwa qualifications zinazotakiwa ili kujiunga na mafunzo ya ualimu kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne kwasababu kwenye tangazo wameandikwa mpaka waliopata division III So...
wana jf leo akatika pita zangu nimekutana na habari hii.
http://ziro99.blogspot.com/2014/04/wanaotaka-kuwa-waalimu-wa-sayansi-sasa-html?m=1
je kuna atakayepata daraja la kwanza halafu aende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.